Mkuu, usindikaji wa vyakula huwa unafuata viwango vilivyowekwa ama kitaifa au kimataifa.
Pia kama Heiniken inaingizwa Tanzania ni jukumu la TBS kuhakikisha kuwa inakidhi viwango vilivyowekwa/ilivyojiwekea.
Hivyo sioni umuhimu wa wewe kuamini maneno ya bar (toka kwa mzungu) kuwa eti inatengenezwa kwa shayiri ya kiwango cha chini! Hata bia zetu zinafuata viwango vilivyowekwa na TBS pia.
Hivyo ni kazi ya TBS kuhakikisha kuwa wananchi tunatumia chakula ambacho ni salama kuanzia kwenye malighafi (raw materials) zilizotengeneza chakula hadi chemical zinazotumiwa (food additives) kuhifadhiachakula kama vinakubalika kisheria.
Ushaaauri...., tupende kutumia bidhaa za nyumbani ili tuchangie ktk kuinua uchumi wa nchi yetu.
Kila la kheri
Nakanganywa na hapa TBS wanapokuja kuaminiwa ghafla bin vuu.
Bidhaa nyingi tunazokutana nazo madukani ni feki, kuanzia electronicr, nguo, viatu mpaka vipodozi. Na vyoote viko na nembo ya TBS, tena orijino na wala si ya kufoji.
Na nyongeza tu, ni kuwa wazungu hawana mapenzi ya kihivyo na sisi mpaka walete best quality products kwetu, nadhani wakipata nafasi ya kutumaliza kwa kemikali watafurahi sana!
Huoni kuwa kuna haja ya kumuamini zaidi mzungu wa bar kuliko TBS ya serikali ya Tanzania inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi?
Read to the end and see the pictures - Yuk! is not enough......BE WARNED!!Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#
Mkuu, kuiamini au kutokuiamini TBS ni swala jingine. Ni kweli hawa wenzetu hawatupendi kivile na ndio maana sheria za usalama wa chakula inter/national zinataka vyakula vikaguliwe kwanza kabla havijaingia sokoni ili kuhakiki usalama coz mapunguwani duniani huwa hawakosekani!
Mie msisitizo wangu ulikuwa ni kwenye uhakiki wa viwango vya ubora wa bidhaa mf. bia zinazoingizwa nchi.
Kiuhalisia hawa TBS ni hopeless kabisa maana kama wapo na wanafanya kazi kwa nini kuna bidhaa feki madukani?? Hapa ndipo point yako ilipo Mh. Mphamvu. Na ni TBS wenyewe ndio wanastahili kujipima kwenye mzani na kujiuliza kwa nini kazi imewashinda..??!
Usiwalaumu TBS kwa sababu kuna bidhaa ambazo madhara yake huwa ni ya muda mrefu na huwa hakuna madhara ya ghafla, chukulia mfno wa Redbull, hii kwa upande wa TBS haina shida ila kiafya haifai na kuna nchi huwa unaambiwa utumie at your own risk,
chukulia mfano wa Sigara, Hapo TBS unazani wanaweza fanya chochote? ingawa baadhi wao ni kuweka sheria kari sana kuhusu Sigara, hata kwenye Pombe nchi nyingi huweka sheria kari mno
nakumbuka kuna watalii kutoka Ubligiji walikuja Tanzani na walistajabu kukuta huku Pombe zinauzwa kama maji na watu wanaweza kunwa kuanzia asubuhi hadi hadi jioni, na walishangaa kukuta kila baada ya mita tano kuna Baa wakati jiji zima la Brusseris baa zinahesabika, so serikali ndo imelala inawaachia wanachi wateketee
Read to the end and see the pictures - Yuk! is not enough......BE WARNED!!
DANGEROUS IMPORTED FOODS
The whole world is scared of China making 'black hearted goods'. Can you differentiate which one is made in the USA , Philippines , Taiwan or China ? For your information ... the first 3 digits of the barcode is the country code wherein the product was made.
Sample: all barcodes that start with 690.691.692 until 695 are all MADE IN CHINA.
4 71 is Made in Taiwan .
This is our human right to know, but the government and related department never educate the public, therefore we have to RESCUE ourselves.
Nowadays, Chinese businessmen know that consumers do not prefer products 'made in china', so they don't show from which country it is made.
However, you may now refer to the barcode, remember if the first 3 digits is 690 to 695, then it is Made in China ...
00 ~ 13 USA & CANADA
30 ~ 37 FRANCE
40 ~ 44 GERMANY
49 ~ JAPAN
50 ~ UK
57 ~ Denmark
64 ~ Finland
76 ~ Switzerland and Liechtenstein
628 ~ Saudi-Arabian
629 ~ United Arab Emirates
740 ~ 745 - Central America
All 480 Codes are Made in the Philippines.
DO NOT BUY FOOD PROCESSED IN CHINA , HONG KONG , VIETNAM AND THAILAND !!! there are no food inspection regulations!!!
Have a taste for chicken tenders? READ THIS
WATCH WHAT YOU BUY. ESPECIALLY HIGHLINER FISH PRODUCTS; all come from China , even though the box says ' product of Canada ', it is from China and 'processed' in Canada , that is, the coating is added and packaged in Canada only! The fish are raised in pens using chemicals that are banned in Canada as cancer causing but legal in China . This was exposed on CBC TV's Marketplace.
This one will make you think before buying anything from China .
Well, are you enjoying seeing Chinese food popping up in your supermarket left and right? Have you noticed you can't buy a single package of fish that isn't made in China (or Vietnam )? Do you think your food from China is processed in a sanitary manner, and thus safe to eat? Take a look at this!!
THINK ABOUT IT. These undercover enclosed pictures speak a thousand words.
Avoid buying all processed food packaged in China Anything goes! We just don't know what else is in those packages. Unlike in the U.S. And CANADA , China does not have laws regulating food processing.
Basically,do not buy any processed food from China , also Hong Kong , too. MANY companies are using a Hong Kong address to avoid this type of image reputation.
Early dawn, starts the day by riding around to collect dead chickens.
Asking around for dead chickens.
Total of 5 riders are hired by the boss to ride to farms to buy dead chickens.
A dead chicken cost 1 RMB and would be sold at 9 RMB after processing.
Storage for the dead chickens in the court yard.
Carcasses are thrown everywhere.
And on the floor....
Four employees start de-feathering the dead fowl after soaking in boiling water from a rusty wok.
Enduring the pungent odour, but sometime, it becomes so terrible that even the most experienced of the workers would puke.
Workers rushing to get the chickens de-feathered.
A discarded bath tub being used to soak the bare skin dead chickens....
The contaminated water would have accelerated the decomposition process.
Wearing slippers walking among the chickens before the coloring processing.
After the color dye, its creepy to find that they are quite tenderized.
And now presenting the mouth watering Charcoal Roasted Chicken!
Send to as many people as possible. Do NOT buy food originating in China (or Vietnam or Thailand)! Take the time to read the labels and look for country of origin! STOP BUYING ANYTHING FROM CHINA . PERIOD ~ Your Health is at Stake!
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#
Mkuu, kuiamini au kutokuiamini TBS ni swala jingine. Ni kweli hawa wenzetu hawatupendi kivile na ndio maana sheria za usalama wa chakula inter/national zinataka vyakula vikaguliwe kwanza kabla havijaingia sokoni ili kuhakiki usalama coz mapunguwani duniani huwa hawakosekani!
Mie msisitizo wangu ulikuwa ni kwenye uhakiki wa viwango vya ubora wa bidhaa mf. bia zinazoingizwa nchi.
Kiuhalisia hawa TBS ni hopeless kabisa maana kama wapo na wanafanya kazi kwa nini kuna bidhaa feki madukani?? Hapa ndipo point yako ilipo Mh. Mphamvu. Na ni TBS wenyewe ndio wanastahili kujipima kwenye mzani na kujiuliza kwa nini kazi imewashinda..??!
Wazo lilinijia miaka kadhaa nyuma, nilipokuwa katika sehemu fulani ya starehe... Jamaa mmoja fundi wa TANESCO alikuwa amepiga dili ya kishoka, ana elfu 18 mfukoni (ilikuwa si pesa haba wakati huo), na sisi tulikuwa sehemu ya wapambe wake.
Tulikunywa kadiri tulivyotaka, pesa ilikuwepo! Tofauti yetu na bosi wetu ilikuwa aina ya kinywaji, wakati sie tukinywa Safari na Bia BINGWA, mshua alikuwa anapata Heineken Kombora, huku akijitapa kuwa hanywi uchafu (akimaanisha hizi za TBL) anapokuwa na hela.
Mzungu mmoja wa uswahilini alikuwa jirani pale, akamhoji jamaa kisa cha kupapatikia bia za Uholanzi, wakati mzungu alikuwa akinywa Pilsner ya EABL, Nairobi?
Mzungu akatutia na kutupanua, maana imani ni kutiana na mawazo ni kupanuana. Ya kuwa ati bia za huko kwao ambazo zinaletwa Afrika huwa ni zile za kimea cha daraja ya chini kabisa. Neno likamrudi tajiri wetu kuwa yeye ndio anakunywa uchafu!
Miaka mingi mbele baada ya tukio lile bado najiuliza, ni sawa kwa sisi kupapatika na bidhaa ya kutoka Arabuni ambayo hata Dabaga waitengeneza? Ndiyo, kuna vyakula tele toka Ulaya, Arabuni na Afrika Kusini huko masupamaketi, vyakula ambavyo hata huku vipo.
Hao wa Ulaya na Arabuni wanazo rasilimali za kutosha kutulisha wakati wenyewe wana uhaba?
#Sumu za kujitakia#
Hebu tuwaweke TBS pembeni kidogo.
Tuchukue mtazamo wa mwananchi wa kawaida ambaye ni kama anajilea mwenyewe. Mimi napendekeza matumizi ya bidhaa za nyumbani kwa vile hata sisi tunaweza kujiridhisha na mazingira ya utengenezwaji wake.
Juisi ya Bakhresa au mayonaizi ya Dabaga ni bora zaidi kwa kuwa inatengenezwa hapa hapa na tunajua viwanda vilipo kuliko hizo za Arabuni na Ulaya ambako hatuna uhakika na matengenezo yake, achilia mbali uzembe wa mashirika yetu kuruhusu vitu vibovu.
Kama wameweza kuleta simu feki kwanini isiwe vyakula?
Tatizo liko kwa viongozi wetu mkuu, Chulukia mfano wa Redbull, hiki kinywaji kuna baadhi ya Nchi hakiuzwi kabisa kwa sababu hakifai kwa afya, na hata Astralia kwenyewe kinapo toka huwa kuna warning za kutosha kuhusu hiki kinywaji, sasa njoo bongo, watu wanapapatikia si mchezo yaani ukionekana unakunwa Redbull unaonekana mjananja,
Na si vyakula tu, Mkuu hata hizi simu za mkonono baadhi ya Nchi kama Canada, Norway na zinginezo zimepiga marufuku kwa watoto wa umri wa chini ya miaka 14 kutumia simu, make inasemekana zina waathiri sana watoto kutokana na ile mionzi, ila huku Bongo ni Makanusho juu ya makanusho,