Stress wakati inaendeshwa na kodi zetu#Wakati mwingine stress nyingine tunajitafutia wenyewe, hivi kweli weekend jumapili mchana saa 10 unawaza kero za TTCL!!???, na wakati TIGO,VODA, AIRTEL na HALOTEL wapo!?,. Achana na TTCL fanya mambo mengine.
Tusimlaumu. Kuna maeneo mengine ya nchi hii hakuna huduma ya mitandao mingine isipokuwa hao.Wakati mwingine stress nyingine tunajitafutia wenyewe, hivi kweli weekend jumapili mchana saa 10 unawaza kero za TTCL!!???, na wakati TIGO,VODA, AIRTEL na HALOTEL wapo!?,. Achana na TTCL fanya mambo mengine.
Mitandao yote inauza vifurushi hivyo, Chukua bei ya kifurushi gawanya kwa mbili punguza kidogo ongeza mb kwa mbele, TTCL Wana matatizo Yao Ila sio bei ya vifurushi.Hawa jamaa hawabadiliki kabisa, hawana maboresho ya vifurushi kabisa vya intanet kama wanavyofanya wenzao
Wanawauzia wateja gb 2 kwa tsh 5000 halafu ni shirika la umma, halaf linaongozwa kwa kodi zetu.
Samia yupo kimya, wizara ya mawasiliano kimya,mkurugenzi wa ttcl alipaswa kuwa jela na watendaji wakuu wote.
Wanatumiwa kulihujumu shirika....Imagine wametumia mabilioni kusambaza nyaya za manguzo nchi nzima kipindi cha magufuli
Halafu sahv wanaleta mzaha, na hapo zilitumika kodi za wananchi, kibaya zaidi wana kila kitu hawa jamaa wana ofisi minara na kila kitu halafu kwa tz wanapatikana kwa asilimia 90 hadi vijijini lakini hawajipromote wala nini yaani majitu yamekaa tu ofisini.
Kwanini kipindi cha jpm walifanikiwa kuteka soko na kurudi juu na kuanza kukua tena why sio kwa sasa.
Huenda rais ndo analiua hili shirika kwa maksudi kwasababu rafiki yake Rostam anamiliki tigo na Airtel
Hii nchi ina laana.
Hilo shirika linatakiwa liboronge ili lipewe waarabu kipindi cha Magu lilikuwa vizuriHawa jamaa hawabadiliki kabisa, hawana maboresho ya vifurushi kabisa vya intanet kama wanavyofanya wenzao
Wanawauzia wateja gb 2 kwa tsh 5000 halafu ni shirika la umma, halaf linaongozwa kwa kodi zetu.
Samia yupo kimya, wizara ya mawasiliano kimya,mkurugenzi wa ttcl alipaswa kuwa jela na watendaji wakuu wote.
Wanatumiwa kulihujumu shirika....Imagine wametumia mabilioni kusambaza nyaya za manguzo nchi nzima kipindi cha magufuli
Halafu sahv wanaleta mzaha, na hapo zilitumika kodi za wananchi, kibaya zaidi wana kila kitu hawa jamaa wana ofisi minara na kila kitu halafu kwa tz wanapatikana kwa asilimia 90 hadi vijijini lakini hawajipromote wala nini yaani majitu yamekaa tu ofisini.
Kwanini kipindi cha jpm walifanikiwa kuteka soko na kurudi juu na kuanza kukua tena why sio kwa sasa.
Huenda rais ndo analiua hili shirika kwa maksudi kwasababu rafiki yake Rostam anamiliki tigo na Airtel
Hii nchi ina laana.
Very soon watampa Rostam AzizHawa jamaa hawabadiliki kabisa, hawana maboresho ya vifurushi kabisa vya intanet kama wanavyofanya wenzao
Wanawauzia wateja gb 2 kwa tsh 5000 halafu ni shirika la umma, halaf linaongozwa kwa kodi zetu.
Samia yupo kimya, wizara ya mawasiliano kimya,mkurugenzi wa ttcl alipaswa kuwa jela na watendaji wakuu wote.
Wanatumiwa kulihujumu shirika....Imagine wametumia mabilioni kusambaza nyaya za manguzo nchi nzima kipindi cha magufuli
Halafu sahv wanaleta mzaha, na hapo zilitumika kodi za wananchi, kibaya zaidi wana kila kitu hawa jamaa wana ofisi minara na kila kitu halafu kwa tz wanapatikana kwa asilimia 90 hadi vijijini lakini hawajipromote wala nini yaani majitu yamekaa tu ofisini.
Kwanini kipindi cha jpm walifanikiwa kuteka soko na kurudi juu na kuanza kukua tena why sio kwa sasa.
Huenda rais ndo analiua hili shirika kwa maksudi kwasababu rafiki yake Rostam anamiliki tigo na Airtel
Hii nchi ina laana.
Hahaha niliwahi kuuliza hili swali mimi pia, halafu swali km hili aliwahi kupigwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kuhusu TBC yaan ulivyoulizwa wewe na yeye akaulizwa hivyo hivyo kuhusu TBC kwamba haipigi hatua kubwa sana km vituo vingine vya utangazaji vya watu binafsi, sasa hapa yeye alielezea na kugusia vitu km vitatu hivi kitu cha kwanza aliongelea suala mishahara ya wafanyakazi, kingine akaongelea utaratibu wa serikali sio km utaratibu wa watu binafsi kingine akasema kwamba wao wanaweza wakamuona mtu mzuri mwenye uwezo mzuri sana na anafaa kuingia kwenye kituo chao cha utangazaji na kufanya nae kazi ila dau likawashinda akachukuliwa na vituo vingine, sasa jibu la TTCL ni km ilivyojieleza hapo kwamba kumejaa watu wenye uelewa mdogo sio watu weenye uelewa mkubwa kungekua kumejaa watu wenye uelewa mkubwa TTCL isingekua hivyo unavyoionaHuenda rais ndo analiua hili shirika kwa maksudi kwasababu rafiki yake Rostam anamiliki tigo na Airtel