smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,977
- 3,066
Wadau mimi naomba kuuliza hivi:
Kwa nini Alexander The Great hakupiigana vita na kuziteka nchi za Ulaya Magharibi vile vile na zile za Ulaya Kaskazini ambako kuna maendeleo makubwa?
Badala yake alielekeza nguvu zake zote kusini mwa bara Ulaya kwa maana ya Africa Kaskazini ambako ni maskini sana tu, na hata alipoendeleza mashambulizi huko India wajeda walimgomea kabisaa.
Mojawapo ya madai yao ni kuwa walitaka kurudi kwao! Lakini hawakurudi badala yake waliishi na kujitwalia Africa Kaskazini ndo pakawa makao makuu yao, tena basi kwa maskini, na huyu jamaa anaye semekana alikuwa jini pia alifia Africa why? why?