Kwanini tendo la kufanya mapenzi ni la naturally huwa kuna nini bila kufundishwa?, siyo kwa Binadamu wala wanyama

😁😁Me bikra 🙈 siwez kukujibu Hilo swal, tuwangoje ma'konk master waje kukujibu na Mimi nitoe ujinga na nijifunze😃😃
Jaman📢📢 mkujeeeee na Mimi nijifunze🗣️
 
Uwezi kwepa kitu kinachozungumziwa na jamii inayokuzunguka kwa 98%......
 
Ulishaweka neno kuwa ni la asili, kama uliwahi kuona maji yakipanda mlima, au mvua kuruka toka ardhini basi subiri majibu JF, zaidi asili ndivyo ilivyo hata wanasayansi wanahangaika kutupa majibu ya kisayansi kila kukicha ila hayabadili asili.
 
Back
Top Bottom