Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 591
- 546
TEC ndo walimtuma Sumai amtukane Nchimbi? TEC ndo wamemtuma Sada apinge Watanganyika wasitibiwe Zanzibar? usituletee mambo yenu ya KishetaniHuwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara. Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je? Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai? Ni kwa nini hawakemei hayo yakipangwa?View attachment 3604799
Wwe mtoto maji, ni nan anapanga kufanya vurugu? Hebu twambie ni vurugu gan inapangwa!! Then Tec sio akili ndogo wanakaa na kuchakata kwanza kabla ya kutoa tamko. Wale sio wazee wa pilau na ndizi mbivu mfuko wa koti!!Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?
View attachment 3604799
Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?
View attachment 3604799
huenda hao ni miongoni mwa AZAKI zilizochangia pakubwa kuchochea fujo na kufadhili ghasia na maafa ya mwaka jana. 🐒Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?
View attachment 3604799
Kwanini TEC tu? Kwani taasisi zengine kama TEC hazipo? Au ndio mkakati wa kuwaadaa watu kuwa kuna Idiomatic Catholic Supremecy?Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?
View attachment 3604799
Ile barua iliyoandikwa kwenda kwa papa ilishajibiwa?Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?
View attachment 3604799
Hivi wale masheikh ubwabwa waliishia wapi? Wewe unawaamini nani zaidi Ubwabwa au TEC? Sema ukweli yakhe.Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.