Isaac1
Member
- Nov 12, 2018
- 79
- 70
Habari zenu.
Mimi nilitarajia kuwa baada ya kusajiri laini zetu kwa alama za vidole basi wale wazee wa pesa hiyo itume kwa namba hii wangeisha ila imekuwa tofauti kabsa.
Watu bado wanatapeli na kutapeliwa .
Nchi za wenzetu wanavifaa ambavyo mtu akifanya uhalifu wowote kwa kutumia simu moja kwa moja wanamkamata bila kuchelewa maana wanavifaa ambavyo hata kama utatumia laini isiyo yako na kuweka kwenye simu mpya.
Vina uwezo wa kuwaelekeza sehemu ulipo mpaka mtaa na kadili wanavyokusogelea ndo kifaa kinazidi kuwaonyesha kuwa uko upande upi na hatu ngapi kutoka pale walipo.
Hii inasaidia pindi wanapokuwa wanaona kabsa kuwa uko walipo wao wanachokifanya ni kupiga simu huku wakiangalia atakayepokea na kukukatamata kama kuku.
Je kwanini Tanzania tusiwe na tecnolojia hiyo na kama ipo kwanini isitumiwe ili kuondoa uharifu?
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app