Kwanini tangazo lako linakataliwa Instagram?

Kwanini tangazo lako linakataliwa Instagram?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Umekua ukitamani sana kufanya promotion kwenye Instagram sema shida kila ukifanya hola Yani ukifanya hola [emoji1]

Instagram ni Moja wapo ya platform ambayo inawasaidia sana wafanyabishara kwenye kuuza au kutangaza page zao !!

[emoji2389] Ads reviews
kabla Instagram au Facebook hawajaweza kuruhusu tangazo lako Huwa wanafanya review kuona limekizi mahitaji hivyo uweza kutizama mambo yafuatayo [emoji116]
• Picha (images), ujumbe (text), lengo (target) Pamoja na nafasi (position) ukiweza kukizi vitu ivyo jua umefanikiwa.

[emoji2390] Your Instagram setup not complete
ni kushindwa kumaliza kufanya setup zote za kuweka akaunti yake kuruhusiwa kufanya tangazo. Hivyo ukitaka kufanya promotion hakikisha akaunti Yako Iko kwenye business.

Ikiwa Bado inakuletea tatizo la ads not working basi hakikisha umeunganisha na Facebook page yako (kumbuka Instagram ads Huwa inatengenezwa kupitia Facebook ads manager )

[emoji2391] You’re not targeting the right audience
hakikisha tangazo lako linawafikia wahusika sahihi hivyo ikitokea umeweka tangazo na ujaweka watu sahihi kuwafikia tangazo lako basi jua utaona matokeo mazuri

Hivyo kabla ujatengeneza Tangazo hakikisha umefanya mambo yafuatayo
• location hakikisha umechagua location sahihi kuanzia majimbo , nchi , mkoa nk
• demographics hakikisha umepanga wateja wako kulingana na umri , jinsia yake pamoja na lugha.
• interest hakikisha kitu unachokifanya unataka wahusika wafanyaje waku follow , kukutumia ujumbe au watembele tovuti Yako

[emoji2392] Wrong ad content
Hakikisha maudhui unayoyatengeneza sio ya kuivunja sheria pia yamefuata sera za Facebook policy advertising kwani mara nyingi watu huweza kuzuiwa matangazo Yao kutokana kuchapisha vitu ambavyo sivyo kuanzisha picha , captions hivyo muhimu kuangalia picha zako na captions kabla ujafanya tangazo.
 
Back
Top Bottom