Linapokuja suala la productivity hasa za maofisini Linux bado, Achana na Stationery, Nchi kubwa kubwa kama Ujerumani wamemwaga pesa nyingi sana kwenye Linux kureplace Windows maofisini ila wameshindwa na kurudi Windows.Issue ya virus kwenye windows inaweza sababisha ukapoteza document muhimu Sana hasa unapokuwa umezihifahi kwenye flash disk yako halafu ukaenda kuprint kwenye hizi stationeries ambazo wengi wao wanakuwa hawana strong anti virus kwa ajili ya kuprotect computers zao unajikuta baada ya kuprint unarudi na virus kwenye flash yako. Nakumbuka niliwahi kupoteza document za maana nilipoenda kwenye stationery moja hivi Yan Kila kitu kikaliwa na virus. Kwanini wasitumie OS Kama Ubuntu au Linux mint ambazo hazishambuliwi na virus?
Nadhan windows Wana la kufanya kuhusu viruses maana nalo ni jangaLinapokuja suala la productivity hasa za maofisini Linux bado, Achana na Stationery, Nchi kubwa kubwa kama Ujerumani wamemwaga pesa nyingi sana kwenye Linux kureplace Windows maofisini ila wameshindwa na kurudi Windows.
Programs kama office sio friendly kwenye linux hasa linapokuja suala la compability. Ili urun Microsoft Office full utahitaji Linux na VM ya Windows so unarudi kule kule.
Unaongelea Windows XP ama?Nadhan windows Wana la kufanya kuhusu viruses maana nalo ni janga
Labda kama unatumia windows za zamani, ila windows mpya ambayo ipo up To date virus sio shida kivile.Nadhan windows Wana la kufanya kuhusu viruses maana nalo ni janga