Tatizo la Watz ni kuwa na tabia ya udont care..lzm ujali issue delicate km uchaguzi..unalalamika abt the govt wakati u hv the nafasi ya kuitengeneza mwnyw..usiboe
Mkuu... Nafasi hiyo ipo mikononi kwa NEC (CCM),
CUF yupo LIPUMBA (the one and only)
CHADEMA honestly sifahamu jinsi wanavyompendekeza mgombea katika chama chao (kama waliomuomba Slaa agombee in 2010) kama kuna mtu anawafaham ni vyema akatujulisha.
Hata mimi sitaenda kupiga kura! Mgombea anaetaka nimpigie kura anilipe 50000/ sipotezi muda wangu kwa maslahi ya mtu mwengine.Hakuna aliyenijibu kwann nikapige kura
Una kitu kimoja tu ambacho wanasiasa wote wanakitaka - kura yako. Kura yako yatosha kuamua matokeo ya uchuguzi. Kura yako ina nguvu ya kuongea na wanasiasa kwamba wahitaji kuishi katika nchi yenye mfumo au sera zipi.
Ingekuwa siasa haitusaidii chochote basi tusingekuwa twahangaika kutaka kujua bajeti ya mwaka ya serikali - hususani katika mabadiriko ya mishahara na ushuru wa vitu mbalimbali...
Elewa mkuu, sijasema sitaki dola iundwe... ila sioni tofauti yoyote kati ya wagombea wa kuongoza dola hiyo. that means yoyote atakaye shinda mambo yatakua ni haya haya... police walewale utaratibu uleule sheria zilezile bajet zilezile jeshi lilelile viwanda na sera mbalimbali zitakua zilezile.
why should i vote?