Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
Elewa mkuu, sijasema sitaki dola iundwe... ila sioni tofauti yoyote kati ya wagombea wa kuongoza dola hiyo. that means yoyote atakaye shinda mambo yatakua ni haya haya... police walewale utaratibu uleule sheria zilezile bajet zilezile jeshi lilelile viwanda na sera mbalimbali zitakua zilezile.
why should i vote?
Nimegundua kichwani haujui kitu kabisa kuundwa dola hakuwezi kufanyika bila kuchagua viongizi watakaounda serikali!!!
hivi ni kwwli hujui hata maana ya serikali(government) ni kitu gani??!!
pole sana mkuu
Institution like?
unamtetea mchaga mwenzio
1. Mgombea yoyote atakayepata madaraka kwangu ni sawa (sina maslahi binafsi na mgombea yoyote yule, wala chama chochote kile).
2. Kwanini niende nikapange foleni kumpa mtu nafasi ya kupata mamilion ya pesa kama mshahara na kupata kiinua mgongo cha mamilion ambayo hayatanifaidisha chochote. (Especially kwa post ya wabunge)
3. Wote wanaogombea wanataka fursa ya kutawala, kumiliki na kuzitumia bila kikwazo tunu tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hivyo sina sababu ya kwenda kumpa mtu nafasi ya kuzivuna tunu za nchi yangu pendwa.
Ninacho amini mimi, wagombea wote ni wanasiasa na wanasiasa wote ni waogo.
Tatizo la Watz ni kuwa na tabia ya udont care..lzm ujali issue delicate km uchaguzi..unalalamika abt the govt wakati u hv the nafasi ya kuitengeneza mwnyw..usiboe
we ni mpuuzi kabisa, mods ujinga kama huu ni wa kufuta mara moja
Wanaopiga kura ni watu wanaojali kura Yao na wanaotambua kwmb wao Ndo wanaotengeneza serikali..Mtu km ajiskii kupiga kura alale tu Sio ishuuKwahio wanaopiga kura wote ni walalamikaji wa kuilalamikia serekali.je kama mtu hana malalamiko hanaulazima wa kukaa foleni?
Mkuu kama hupigi kura si ungekaa kimya tu na lako moyoni!!!?. Usidanganye watu, siku zote anayekwenda kujinyonga huwa hasemi.
Wanaopiga kura ni watu wanaojali kura Yao na wanaotambua kwmb wao Ndo wanaotengeneza serikali..Mtu km ajiskii kupiga kura alale tu Sio ishuu
Wanaopiga kura ni watu wanaojali kura Yao na wanaotambua kwmb wao Ndo wanaotengeneza serikali..Mtu km ajiskii kupiga kura alale tu Sio ishuu
Sio yeye tu.Tupowengi lakini hio haizuwii mtu kujieleza eti kwasababu amefikiri tofauti na mawazo yako.
Ogopa sana kusema "tupo"wengi..mkumbo huo
Alichokifanya hapo ni kwamba ameniwahi tu, angechelewa kidogo angekuta nimeshatupia jamvini.
Hakuna mkumbo hapo,.
Iweje ukapige kura kumchagua mtu na kumtengenezea maslahi mtu ambae hakujui.na isitoshe huyohuyo ni mtu mwenye historia ya dhulma.
Hakuna mtu atakaekwambia kwamba UNAFATA MKUMBO endapo utadamka asubuhi kwenda kupanga foleni ya kumchagua mtu wako.
Mpigie EL hutajuta