Unachosema kweli, society inafavour sana wanaume.Nimeona Mara nyingi hata mimi pia ni shahidi, mwanaume akigegeda wanawake wengi au akiwa na wanawake wengi kingono anaonekana ni shujaa yaani the champion..anaonekana ni wa kuigwa yaani ndo mjanja halafu he feels superior na haoni shida wala tatizo ama haya kusema kwamba nimemgegeda Asha, Fatuma,Rozi.,Manka,aisha na wengine na hata pia katika uoaji hapati shida hata wanawake wakijua kagegeda wengi ila kwa wenzetu hawa waliotolewa katika mbavu zetu za kushoto akigegedwa na wanaume wengi huonekana Malaya, mchafu, asiejiheshimu, cheap, low quality na anaonekana hafai tena kuwa mwanamke wa kuolewa na kila mwanaume anamshusha thamani!
Narudia tena kwanini lakini inakuwa Hivi? au Kufanya Ngono na wanawake wengi ni Heshima kwa Mwanaume?
Kwanini lakini?
HIV ina stage Tatu .
Kwaufupi mpaka AIDS ionekane huchukua miaka 10-20 ,,,, namnavyoogopa kupima endeleen tu kua superior ,,,mtakipita.
Endeleeni tu.
Acha zako ww, DAMU SALAMA si wangeua watu.HIV ina stage Tatu .
Kwaufupi mpaka AIDS ionekane huchukua miaka 10-20 ,,,, namnavyoogopa kupima endeleen tu kua superior ,,,mtakipita.
Endeleeni tu.
Kwanini kufuli moja likifunguliwa na funguo mia kufuli hilo utupwa.
Ila funguo moja ikifungua makufuli mia, funguo hiyo utunzwa na kutafutiwa ulinzi mkubwa?
Mkuu naomba majibu hapo kwanza ndio tuamie hapo kwako.
umeelewekaKufuli liliofunguliwa na funguo tofauti hilo linaitwa badlock ila funguo inayo fungua makufuli mengi ni master key
Hope you will understand what I mean
Sent using Jamii Forums mobile app