Ndo maana mi nikataka the Golden touch by some known names.
Max tayari ana traafic na kui divert kwenye "jamiidate.com" kwa mfano, itakuwa kitu rahisi sana.
Hiyo Marafiki naweza kuwa nzuri lakini ikpo katika "deep web" huko, deeper than the Mariana Trench watu hawaioni.