double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,402
- 2,547
Sisi waafrika hatutaendelea mpaka tujue thamani ya muda. Thamani ya muda ni tofauti na thamani ya watu.
Dunia haijawahi ishiwa wema na waovu, wajinga na werevu, wenye hekima na wapumbavu nyakati zote.
Mazoea ya kuvumilia shida ndo maana kila baada ya miaka mitano tunajaza viongozi wasio na dira kwa sababu ni watu tunawapenda. .
Viongozi hubadili mstakabali wa maisha ya wengi.
Kuishi kwenye kubahatisha miaka ni hatari.
Hii ya kusema tusiogope maana yake tumempa yeye nafasi ya kujiamulia wakati nchi ni yetu.
Yeye ndo anatakiwa aogope kukaa chini ya muda anaotamani na si sisi.
Tunatakiwa kuchagua. Ni wajibu wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app