Kuna hofu isiyokuwa na msingi imetanda Kwa baadhi ya wananchi Kwa Sasa, wengi wamejawa na hofu hasa juu ya mustakabari Wa taifa letu.
Watu wengi hawaamini kama Rais atatoka madarakani.
Tuseme Mimi sio kiumbe cha ajabu niijuaye kesho ,lakin nina sababu hizi za kutomuogopa Rais bali namheshimu tu.
1. Umri wake ni zaidi ya miaka 60,na Kwa maisha ya binadamu Wa Dunia ya Sasa hata asipotoka madarakani, miaka 30 ijayo atakuwa amekwisha fariki au mzee sana asiyeweza kutawala.
2. Rais hana vizazi pandikizi,hapa naweka sawa, marais wengi wenye chembe za kutawala milele hua Wana watoto wao Wa damu wanao waandaa kuja kurithi endapo Israel atawaita, kwetu Hali sio hivyo,hawa wasaidiz wake hawana legitimacy ya kumrithi.
3. Aina ya siasa za Rais sio siasa za kudumu madarakani Kwa muda mrefu ,he is getting the business done na anaendelea na safari zake.
Note: Kwa wataalamu Wa linguistic, mtanielewa, ukisikiliza speech za Mhe Rais utaiona hofu kubwa ya kusalia madarakani ,utaona ni mtu ambaye hana mizizi ya kutawala kidictator. Hata kama akitaka kuwa Rais Wa milele hataweza Kwa Kua hana DNA hizo.
Kumbuka unaweza kupenda sana mpira Wa kikapu lakin usiweze kuucheza.
Mwisho kabisa, Rais ni melancole (hii ni Aina ya watu ambao wakielewa jambo hawaachii mpaka yesu arudi, liwe jema au baya).
Chukia diss na lalamika, Rais hatatawala beyond 2025.
Hana sifa za iron men kama Putin, Maduro, Museveni etc