Hii ni kwa mujibu wa CAF, au wewe? 😁😁😁Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba,
Kuna wakati unajikuta tu umeshasoma post kutoka kwa mtu mpumbavu. Mpumbavu wa Moira, asiyejua anaongea Nini.Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.
Huyu alikuwa ni mwanafunzi ambae kila siku tukitoka shuleni alikuwa anatusubiri njiani kutupiga bila sababu ya maana. Alikuwa akitunyang'anya kila kitu chetu hadi ikalazimika wazazi wetu kutufuata shuleni kuturudisha nyumbani kwa usalama wetu. Tangu siku hiyo mathayo akaacha tabia yake ile.
Simba waliingia uwanjani kupigana na Mathayo wao (Yanga). Waliingia kama wanyonge na walioapizwa kuhakikisha kuwa mathayo anakufa kwa njia yoyote ile maana wamechoka kuonewa na Yanga.
Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba, ni kama vile walifunga kwa bahati mbaya kwa kutumia jiwe (goli la mapema lililotokana na adhabu ambayo haikuwa adhabu) na kuzirai moja kwa moja. Ukweli huu mtauona siku yanga ikikutana na Simba tena kwenye mashindano ya FA. lilikuwa jiwe tu sio ngumi wala teke.
Wachambuzi wetu wamepata pa kushikia baada ya kuinamishwa vichwa vyao kwa muda mrefu sana na yanga. Ni heri mkaendelea kusema Simba ni mbovu badala ya kuijaza kichwa kwa kuifunga yanga ki mchongo ili iendelee kukiboresha kikosi chake.
ndio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na FulhamKuna wakati unajikuta tu umeshasoma post kutoka kwa mtu mpumbavu. Mpumbavu wa Moira, asiyejua anaongea Nini.
Ila Nina mashaka na unachotumia kufikiri si kichwa.
Utopoloni wenye maarifa Ni wawili tu!
Takwimu zinakataa kabisaa labda kama hutaki kutumia akili. CAF ranking mpo chini, mnashiriki shirikisho wakati Simba yupo champions hatua zinazofanana. Je ubora wa yanga ni upi? Kama unatumia kigezo cha kuongoza NBC basi ukapimwe akili.ndio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na Fulham
Unajifariji tu utopolo. Timu haipo hata top 20 Bora barani Afrika halafu ndio iwe goliath?Simba hawakutegemea kile kilichotokea cha golieth na daudi
Nasemaje Sisi tunashangilia tu, tumewakandamiza Endelea na uchambuzi uchawaraNilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.
Kosa walilolifanya Simba ni kutowafunga 5.Hizi kelele zilizobaki zingekoma.Kocha Nabi amechanganyikiwa.Takwimu zinakataa kabisaa labda kama hutaki kutumia akili. CAF ranking mpo chini, mnashiriki shirikisho wakati Simba yupo champions hatua zinazofanana. Je ubora wa yanga ni upi? Kama unatumia kigezo cha kuongoza NBC basi ukapimwe akili.
Mnajustukia tu.Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai.
Huyu alikuwa ni mwanafunzi ambae kila siku tukitoka shuleni alikuwa anatusubiri njiani kutupiga bila sababu ya maana. Alikuwa akitunyang'anya kila kitu chetu hadi ikalazimika wazazi wetu kutufuata shuleni kuturudisha nyumbani kwa usalama wetu. Tangu siku hiyo mathayo akaacha tabia yake ile.
Simba waliingia uwanjani kupigana na Mathayo wao (Yanga). Waliingia kama wanyonge na walioapizwa kuhakikisha kuwa mathayo anakufa kwa njia yoyote ile maana wamechoka kuonewa na Yanga.
Simba kuifunga yanga haiondoi ukweli kwamba Yanga ni bora kuliko Simba, ni kama vile walifunga kwa bahati mbaya kwa kutumia jiwe (goli la mapema lililotokana na adhabu ambayo haikuwa adhabu) na kuzirai moja kwa moja. Ukweli huu mtauona siku yanga ikikutana na Simba tena kwenye mashindano ya FA. lilikuwa jiwe tu sio ngumi wala teke.
Wachambuzi wetu wamepata pa kushikia baada ya kuinamishwa vichwa vyao kwa muda mrefu sana na yanga. Ni heri mkaendelea kusema Simba ni mbovu badala ya kuijaza kichwa kwa kuifunga yanga ki mchongo ili iendelee kukiboresha kikosi chake.
Odds huwa zinatolewa kwa probability ya kushinda sio ngebe za gongowazi. Nasikia tetesi dabi ijayo Simba wanataka kumpanga golikipa wa 4 anaitwa Feruzi ndio adake.Muanze na kanji mapema tu aliwaua, akawapa simba odd mbili draw 3 na yanga odd 4.
Hizi ndio zile Polimilai alizokuwa aki maanisha Manarandio ukweli wenyewe, Simba sio bora kuliko Yanga, ni chance tu ilitokea, hata mashabiki wa simba walishangaa sana kupitiliza kuona kile kilichotokea. yaani ni sawa na Man city kufungwa na Fulham
Kwani Simba ameipataje nafasi ya kushiri champions, alikuwa bigwa wa nini msimu uliopita? Simba imeshuka viwango, hata kufika hapo alipo alipangiwa uchochoro wa big bullets, de agosto, kisha Vipers vibonde kwenye mashindano.Takwimu zinakataa kabisaa labda kama hutaki kutumia akili. CAF ranking mpo chini, mnashiriki shirikisho wakati Simba yupo champions hatua zinazofanana. Je ubora wa yanga ni upi? Kama unatumia kigezo cha kuongoza NBC basi ukapimwe akili.