Pundugu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 212
- 587
Habari za muda huu wadau wa JF, bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye topic. Issue ipo hivi;
Kuna demu mmoja anajishughulisha na mambo yake hapa mjini, nilianza mahusia naye kitambo kidogo ila haikuwa serious relationship bali ilikuwa ni kwa kujifurahisha tu. Ikitokea amenimiss ananipigia simu tunakwenda kupiga show baada ya hapo kila mtu na time yake.
Siku chache zilizopita aliwahi kunipigia simu tukapiga story halafu baadae kupitia hizo story akasema" Wanaume siku hizi sijui wanamatatizo gani, mtu unampa chance anakwenda kutekenya kidogo tu halafu anakoroma anakuacha unahangaika na genye zako"
Mimi nikajua tu anataka show ya kibabe, sikumwambia kitu nikabaki nacheka tu na kuendelea na maada zingine kwakuwa story yake sikuitilia maanani.
Juzi kati hapa akanipigia simu usiku nikapokea ila hatukuongea vizuri kwakua nilikua na usingizi sana, kesho yake akaniambia alihitaji sana show ya nguvu kwani amechoka kuchezewa tu halafu watu wanasepa baada ya kutimiza haja zao nikamwambia tutapanga tukutane lini.
Sasa jana baada ya game ya Liverpool na Napoli, nikashangaa simu ngreee! ngreee! nikapokea akaniuliza vipi ulikuwa unacheki mpira, nikamwambia ndiyo. Akasema "fanya uje geto uniweke sawa maana moja haikai wala mbili
genye zitanitoa kwenye reli" nikamwambia poa, ila nikamwambia unajua wanawake mnakuwaga na mabwana walishawazoe saingine wanakuja magetoni kwenu bila taarifa, akasema hakuna shida ndiyo maana nimekutafuta.
Mwanaume nikatimba magetoni kwake akafurahi kweli kukubaliwa ombi lake na game ikaanza. Nimepiga weee! mtoto akanibana kifuani kwake, mara jamani nakojoaaa! Nikamwambia kojoa tena na tena mtoto mzuri, hapo mwanaume hata bao la kwanza sijaliwazia tu litakuja saa ngapi.
Nikaendelea kufanya kazi iliyonipeleka pale, nimepiga game weee! mara nasiki jamani Pundugu nakojoa tenaaaa! Nikamwambia leo mpaka asubuhi. Hii raundi alipiga kelele sana mimi sikujali kwakuwa alikuwa kawasha tv inaongea kwa sauti ya juu kidogo.
Nikabadilisha kondom baada ya hii ya kwanza kuonyesha dalili za kuishiwa wese, nimeendelea mtoto akaanza tena kuonyesha dalili za kukojoa mara ya tatu, kidogo ile tv chanel ikakaa kimya tikaanza kusikika sisi tu ila hakukuwa na kelele sana.
Baada ya muda kidogo mtu aligonga dirishani! Nikajisemea huyu atakuwa jirani kachelewa kurudi anataka msaada afunguliwe. Lakini aligonga kwa nguvu kumaanisha naye alikuja kulala na yule demu. Aisee!! demu alichanganyikiwa kishenzi nilichofanya ni kujiweka sawa kwa lolote litakalo tokea.
Nikamwambia ngoja nitoke nje, demu aliogopa sana akanizuia na kunitaka nibaki ndani. Hapo huyo fala huko nje anaendelea kugonga nilichokifanya ni kumwambia ngoja basi niende bafuni, hapo lengo langu nataka nitoke ili niepushe ugomvi na kuwafaisha wananzengo.
Ile nyumba ina uzio wa ukuta tu hakuna chochote juu, nilidaka ukuta nikaangalia nje kama kuna mtu ananisubili nikaona kweupe, yule bwege yeye mawazo yake kayaweka mlangoni. Niliruka kama chui nikashuka upande wa pili na kuondoka zangu kwenda geto huku nikijilaumu kwanini nimerudi bila kupiga bao hata moja.
Demu asubuhi akanitext kuniomba radhi kwa kilichotokea nikamwambia mimi ni baharia kitu hiki ni cha kawaida tu na nilitegemea kuwa kitatokea.