Kwanini siku izi vijana wanadate na wanaume/wanawake walio wazidi umri?

ukute we mwenyewe ushazeeka macho yamepoteza ufanisi wa kuangalia...
 
Habari, wanajamii forum naomba tujadili hii mada ilipo mezani kwa wakati huu.

Kwamba,

Kwanini siku hizi vijana wengi wanadate na wanaume/wanawake walio wazidi umri?

Karibuni sana.
kila mtu na sababu yake ila mm kama binti tena mbichi kabisa napenda nwanaume anizidi hata miaka 8 cos napenda olewa mapema nitulie hata kama wanasema ndoa ni mateso mi naamini ayo mateso yanawekwa na wanandoa wenyewe.

so mm sababu ni iyo ni kwamba sitaki kuhangaika saaaana b4 sjaolewa ndomana napenda nidate watu wazma 29 kuendelea.
 
Kila mtu anasababu zake ila nahisi ni katika harakati za kutafuta maturity ndani ya mtu hizi age below 30 zinautoto mwingi
 
Back
Top Bottom