Kwanini serikali ya Tanzania haina ushirikiano na vyama vya upinzani kujenga maendeleo?

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia shughuli za bungeni lakini chama tawala hakijawahi kamwe kuchukua mawazo wanayoyatoa vyama vya upinzani hata siku moja je,inamaana mawazo yao chama tawala katika ujenzi wa taifa ni bora kuliko ya upinzani?

Nawasilisha.
 
wapinzani ni chama tawala hupatana wakati wa posho tu na mishahara yao!!
 
Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia shughuri za bungeni lakini chama tawala hakijawahi kamwe kuchukua mawazo wanayoyatoa vyama vya upinzani hata siku moja je,inamaana mawazo yao chama tawala katika ujenzi wa taifa ni bora kuliko ya upinzani?
nawasilisha
Acha unafiki wewe. Ushirikiano uko mzuri tu, ila nyie hamjui tu kuwa hiki wanachokifanya wapinzani kwa sasa ni maigizo.
Muone Mbowe hapa chini
 
Huwa wanachukua ya wapinzani shida huja namna ya kuyatekeleza. Maana wapinzani wanajua mawazo yao sasa Majipu yakichukua inakuwa shida. Ukitaka kujua anza na la katiba mpya lilikua wazo la wapinzani wakalichukua limewashinda wameliacha barabarani. Hapo ndio utajua.
 
Acha unafiki wewe. Ushirikiano uko mzuri tu, ila nyie hamjui tu kuwa hiki wanachokifanya wapinzani kwa sasa ni maigizo.
Muone Mbowe hapa chini

kuongea na kutenda ni tofauti raisi wenu huyu wa ccm haupendi upinzani anasema lakini anamaanisha kinyume chake

ni kama tu utendaji wa dar upinzani unafanyiwa figisu figisu za kutosha

my take tushirikiane tujenge nji yetu hii nji si ya chama cha mapinduzi ni yetu sote
 
mkuu nchi nyingine chama tawala na upinzani wanapiga kazi kuhakikisha nchi inapata maendeleo lakini huku kwetu kwenye masuala ya msingi watu wanaingiza mambo ya vyama je tutafika kweli?
 
hatuendi popote ujinga tuu........... yaani kwamba hawa ccm ndo wanaojua kazi kuliko wengine kwamba wale wabunge ama mameya wa upinzani hawana akili je wakivua nguo za cdm wakavaa za ccm hawafanyi kazi pamoja je humu maofisini wote ni wana ccm ............... wakati wa siasa uwe wa siaza na wakati wa kazi uwe wa kazi sasa hapa kilichopo ni majungu na fitna hawataki ushirikiano y?

hawa majamaa wa chadema wakivaa nguo za kijani hawatafanya kazi nao?? shame on ccm shame shame shame
 
kuongea na kutenda ni tofauti raisi wenu huyu wa ccm haupendi upinzani anasema lakini anamaanisha kinyume chake

ni kama tu utendaji wa dar upinzani unafanyiwa figisu figisu za kutosha

my take tushirikiane tujenge nji yetu hii nji si ya chama cha mapinduzi ni yetu sote
Tatizo ni pale upinzani unapojiona wao ni special sana mpaka wakubaliwa kukeuka taratibu za kibunge. Wapinzani ni wanafiki na waongo sana. Yaani wao walitaka eti kila wakiomba miongozo wapewe, yaani hata kama wanapiga kelele wasikilizwe yaani utadhani ni bunge la walevi. Na ngoja wataisoma namba, hakuna kulegeza msimamo.
 
kuna walevi kina kitwana
 
Wapinzani wana uelewa mdogo sana wa mambo. Wao wanadhani kupinga kila kitu ndiyo kuongeza wanachama
wapinzani hao unaosema ni mazao ya ccm sasa unamaanisha watanzania wotekwa ujumla hatuna akili haswa ccm yenye kuzalisha makapi
 
Tatizo ni pale upinzani unapojiona wao ni special sana mpaka wakubaliwa kukeuka taratibu za kibunge. Wapinzani ni wanafiki na waongo sana. Yaani wao walitaka eti kila wakiomba miongozo wapewe, yaani hata kama wanapiga kelele wasikilizwe yaani utadhani ni bunge la walevi. Na ngoja wataisoma namba, hakuna kulegeza msimamo.
namba unaisoma wewe mwananchi wakawaida
 
Na ww mtoa mada hii hivi unawaona upinzani wanazo akili? Wangekuwa na akili wangejiweka makaratasi mdomoni?
 
Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia shughuli za bungeni lakini chama tawala hakijawahi kamwe kuchukua mawazo wanayoyatoa vyama vya upinzani hata siku moja je,inamaana mawazo yao chama tawala katika ujenzi wa taifa ni bora kuliko ya upinzani?

Nawasilisha.
Siasa za Tanzania ni vita , kama ulikuwa hujui chukua hiyo .
 
Back
Top Bottom