Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,873
Kuna wimbi limetokea sasa baadhi ya vyombo vya habari kujikita kuandika habari za upotoshaji.
Sijajua lengo la vyombo hivyo vya habari. Unakuta chombo cha habari kinatoa habari ya uongo either kwa lengo la kupotosha jamii au kudanganya.
Mpaka anatokea mtu mwingine kuja kusema hiyo habari ni ya uongo.
Kwanini serikali isivichukulie hatua vyombo hivyo vinavyoeneza uongo kila wakati?
Naomba serikali yangu hii ya Magufuli isiifumbie macho tabia hii maana bado changa. Ikikua itakuja kuleta madhara makubwa sana katika jamii.