Mwaka huu itashuka mpaka 15%, biashara karibu zote zinafungwa na sijui tatizo liko wapi?Kama ingewezekana serikali ingekomaa na bajeti hiyo moja mpaka mwaka 2020 kwasababu naona serikali uwezo wake ndio unaonyesha hivyo.
Kwasababu kama bajeti ya mwaka jana ilifeli kwa 70% inamaana hiyo bajeti inahita tena miaka 3 tena ili kuikamilisha.
Ila hii ya kupiga bajeti kubwa kila mwaka ambazo hazitekelezeki ni kupoteza muda.
Na kujitafutia sifa ambazo hazina maana.
Hizo hela tayari zishapangiwa matumizi yake,tunasubiri Noah zetu.Ondoa hofu Mkuu, ACACIA wanatulipa TRILIONI 108. tehe tehe!
Bila kudanganya kwa viwango vya uongo magazeti yataandika nini ?Kama ingewezekana serikali ingekomaa na bajeti hiyo moja mpaka mwaka 2020 kwasababu naona serikali uwezo wake ndio unaonyesha hivyo.
Kwasababu kama bajeti ya mwaka jana ilifeli kwa 70% inamaana hiyo bajeti inahita tena miaka 3 tena ili kuikamilisha.
Ila hii ya kupiga bajeti kubwa kila mwaka ambazo hazitekelezeki ni kupoteza muda.
Na kujitafutia sifa ambazo hazina maana.
Na ujue robo 3 ya hiyo 30% ni mishahara na marupurupu ya wanene tu .Kumbe tunaweza kuishi kwa 30%!
Mkuu una akili sana aisee. Hata waziri Mpango hana uwezo wako!Kama ingewezekana serikali ingekomaa na bajeti hiyo moja mpaka mwaka 2020 kwasababu naona serikali uwezo wake ndio unaonyesha hivyo.