Kwanini serikali isiindeleze ile bajeti ya mwaka jana iliyofeli kwa 70%

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,910
Kama ingewezekana serikali ingekomaa na bajeti hiyo moja mpaka mwaka 2020 kwasababu naona serikali uwezo wake ndio unaonyesha hivyo.

Kwasababu kama bajeti ya mwaka jana ilifeli kwa 70% inamaana hiyo bajeti inahita tena miaka 3 tena ili kuikamilisha.

Ila hii ya kupiga bajeti kubwa kila mwaka ambazo hazitekelezeki ni kupoteza muda.
Na kujitafutia sifa ambazo hazina maana.
 
Mwaka huu itashuka mpaka 15%, biashara karibu zote zinafungwa na sijui tatizo liko wapi?
 
Bajeti ni kipimo muhimu cha maendeleo ya Taifa ila kama ilitekelezwa by 30% basi labda makusanyo na matumizi yalikuwa chini sana ya kiwango.Key Perfomance Indicator nayo ilikuwa chini sana.Labda wabunge wangejadili kwanza chanzo cha anguko,na kuitaka serikali itekeleze kwanza bajeti ya mwaka jana,ikimaliza hilo ndio walete bajeti hii mwaka huu kulingana uwezo halisi wa seikali.
 
Kama ingewezekana serikali ingekomaa na bajeti hiyo moja mpaka mwaka 2020 kwasababu naona serikali uwezo wake ndio unaonyesha hivyo.

Kwasababu kama bajeti ya mwaka jana ilifeli kwa 70% inamaana hiyo bajeti inahita tena miaka 3 tena ili kuikamilisha.

Ila hii ya kupiga bajeti kubwa kila mwaka ambazo hazitekelezeki ni kupoteza muda.
Na kujitafutia sifa ambazo hazina maana.
Bila kudanganya kwa viwango vya uongo magazeti yataandika nini ?
 
Naunga mkono hoja yako, utaletaje bajet ya trillion 30 wakati ulishindwa kufikisha hata nusu mwaka jana???? Ni kuleta bajet hewa tu!! Nilishangaa wanabishana wizara ya maji waongeZe ifike billion 900 wakati awaki hata billion miambili haikufika!! Ccm bwana ni janga
 
Kama ingewezekana serikali ingekomaa na bajeti hiyo moja mpaka mwaka 2020 kwasababu naona serikali uwezo wake ndio unaonyesha hivyo.

Kwasababu kama bajeti ya mwaka jana ilifeli kwa 70% inamaana hiyo bajeti inahita tena miaka 3 tena ili kuikamilisha.

Ila hii ya kupiga bajeti kubwa kila mwaka ambazo hazitekelezeki ni kupoteza muda.
Na kujitafutia sifa ambazo hazina maana.
Mkuu una akili sana aisee. Hata waziri Mpango hana uwezo wako!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom