Arnold Ndosi
Member
- Aug 14, 2012
- 65
- 3
mimi ninashangaa sana serekali,eti inatoa kipaumbele kwa wa2 wanaochukua course za sayansi na edukeshen........! inamaana nch ye2 inahitaji hao wa2 2 ndo ienelee? kiufupi mimi naona ni utaahira...... nchi haiendelezw na walmu ,wandis na madaktar peke yake.chakushangaza,wandis wanao2jengea majumba makubwa na barabara ni wagen licha ya uwepo wa wandis kibao.walimu wanakimbia kaz zao punde baada ya kumuliza,sasa wanasapot nini?????????????????.mimi nilichagua edukeshen ktk vyuo vyote nilivyochagua lakini hawakunichagua,wamenichagua mascom.sasa waninyimwe mkopo wakat sina hatia........!!!!!!!!!!.serekali iachene na upuuzi kama huo na itoe msaada kwa wote.wenze2 hawajaendelea kwa namna hiyo,au mnasemaje wana jf??????????