Kwanini serikali haitoi ajira kwa data clerks/officer

Kwanini serikali haitoi ajira kwa data clerks/officer

blanda23

New Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Hivi kwanini serikali mbaka sasa haitoi ajira kwa data clerks/officer pamoja na kuwepo kwenye muongozo wa NACP Zaidi inawaacha kuwa chini ya wadau na ajira zinatolewa kwa watu wa kada zingine za afya ni kama data officer wanaonekana wanafanyakazi za mradi na sio za serikali?!!
 
Back
Top Bottom