Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,640
- 10,726
Kutwa utasikia sijui Samsung kamshitaki Apple kwa kuiba idea yao ya kamera mara umbo nk nk
Lakini kuna hizi kampuni zinatengeneza Samsung fake, kwanini hazikamatwi? Hata kama ni za uchochoroni vipi lakini si hatua ya kushindwa kutrace wapi zinatoka na kutengenezwa lazima kuna kiwanda tena kikubwa tu
Je wanaacha kwakuwa haiwaathiri kibiashara? Au hawana ubavu wa kuwazuia?