Usingechanganya na Imani ningekuelewa tatizo unawahukumu wengine wakati na wewe upo hivyo hivyo...You are full of EGOWhy huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......
Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?
Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?
Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?
Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..
Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Yaani huyu binadamu naamini hata hiyo dini Hana ila ni evil spirit ndiyo imemjaa. Mimi ni mwisilamu original na nikabadili dini, sijawahi ona muislam mwenye kumpenda Mungu kuwa na sifa kama hizo za huyu selfish being...Udini unao wewe Kwa nini waislam wengi mnakosa emotional intelligence kiasi hicho uelewa wote wa elimu Dunia mnakuwa machoko kwenye mambo msingi ya critical and analytical thinking ambayo mtoto wa 7 yrs anawazidi that's bullshit, unaongelea dini kwenye mkataba wa kishenzi na kipumbavu pale dini Iko kifungu Cha ngapi?
Point!,Ukiwa umesoma Saikolojia vyema ukaijumlisha na ile ya Kuzaliwa ukitulia na Kuiangalia Kiumakini Sura ya Rostam utagundua kuwa ana Makandokando mengi, si Mwaminifu na ni Mtu HATARI sana kwa Tanzania ya Jana, Leo na hasa Ijayo kama hatodhibitiwa na wale Wanaomuogopa na Kumlea kama Mtoto wa Dawa kwa Waganga wa Kienyeji / wa Maombi kwa akina Mwamposa Tanganyika Packers Kawe na Mwacha Kimara Temboni.
Upo kila mahali kama jini bwashee.Arusha kwa Nabii Mkuu Geodevie
Liliikataa DP World kisha Serikali yao ikainunuaIkiwa Dp world ni Marekani,
Iweje Bunge la Marekani ilikataa Kampuni hiyo katika bandari zake?
Dunia iko Kiganjani bwashee 😄Upo kila mahali kama jini bwashee.
Kumbe huwa mnaona nae Arusha[emoji1787]Dunia iko Kiganjani bwashee [emoji1]
Kama ni hivyo,Liliikataa DP World kisha Serikali yao ikainunua
Unaonaje na sie Serikali yetu tufute mkakaba fake Kisha tuinunue DP world?Liliikataa DP World kisha Serikali yao ikainunua
Umeambiwa hao ni Wahindi akina Aidan😂😂Kama ni hivyo,
Kwann mnapinga mkataba fake na BATILI KUFUTWA Ili mchakato wa tenda uanze UPYA Kwa uwazi?
Kuifuta au kutoifutabila kurekebisha Katiba is just a temporal measure...We need Katiba mpya na kilakitu kitaji align including kui nunua maana is very possible Kwa wealth tuliyonayo sisiUnaonaje na sie Serikali yetu tufute mkakaba fake Kisha tuinunue DP world?
Hapo sasa!!Umeambiwa hao ni Wahindi akina Aidan😂😂
Katika suala hili,Kuifuta au kutoifutabila kurekebisha Katiba is just a temporal measure...We need Katiba mpya na kilakitu kitaji align including kui nunua maana is very possible Kwa wealth tuliyonayo sisi