Sizani kama huyu ni raisi
Sasa si ufanye research ? Unakataa nini ? Kwani Rais anatakiwa awe vipi ?Sizani kama huyu ni raisi
Hiyo ni hypothesis yangu.Sasa si ufanye research ? Unakataa nini ? Kwani Rais anatakiwa awe vipi ?
RAIS NI NATIONAL ICON, PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE ANAKUWA NA HESHIMA YA KIPEKEEMaana yangu ni kuwa;
Mfano,wapinzani hupiga kelele kweli kumpinga kiongozi wa nchi husika.Lkn na ajabu pindi wawapo jirani naye huweweseka na mwisho huishia kumpongeza kwa bashasha na furaha!
Wakati mwingine watu haohao wampingao huenda mbali zaidi na kumpamba kwa kila jema ilhali janaye walimponda kwa kila baya na ovu!
Kwa nini hali hiyo kutokea?!Au,wapinga kila kitu hao ni wanafiki?!
Maana yangu ni kuwa;
Mfano,wapinzani hupiga kelele kweli kumpinga kiongozi wa nchi husika.Lkn na ajabu pindi wawapo jirani naye huweweseka na mwisho huishia kumpongeza kwa bashasha na furaha!
Coco Marie Austin
Wa croatia hatishi ,labda marais wenu uchwara
Awe anatembea na mwandishi wa TBC mfukoni kwake, anafoka foka kila wakati, anatukana wateule wake, anatukana wanawake, anagawa pesa kwa wanaomwabudu na mapapai. Na anaagiza watu wapigwe risasiSasa si ufanye research ? Unakataa nini ? Kwani Rais anatakiwa awe vipi ?
Simu yako inaishia kuingia JF na Instagram tuu? Ingia google jombaaa....Sizani kama huyu ni raisi
Na atishe kuwapiga mashangazi za watu.. Yaani unafanya kosa wewe shangazi yako tena alieko kijijini anaenda kushushiwa kipondo cha mbwa kokoAwe anatembea na mwandishi wa TBC mfukoni kwake, anafoka foka kila wakati, anatukana wateule wake, anatukana wanawake, anagawa pesa kwa wanaomwabudu na mapapai. Na anaagiza watu wapigwe risasi