..hoja yako ni mchango wa Mama Abduli ktk SADC na EAC na mahsusi mkutano uliomalizika juzi.
..Ndio nikakwambia Mama Abduli ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi, usalama, na siasa ya SADC.
..sasa ukiangazia mchango na uongozi wake katika nafasi hiyo na challenges ambazo nchi wanachama wanapitia utaona kabisa kwa amepwaya.
..tafuta michango ya watangulizi wake ktk nafasi hiyo na pale jumuiya ilipokutwa na changamoto walichukua hatua gani.
..haiwezekani mwanachama wa SADC anavamiwa halafu Mwenyekiti wa troika ya ulinzi na usalama anaenenda kama anavyofanya Mama Abduli.