Kwanini polisi wanapenda sana TV?

four eyes

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
905
Reaction score
1,410
Habar wadau,Kuna ka tabia nimekagundua ka polisi kufanya kila kitu ktk TV hivi sababu ni nini?

Nimegundua wakikamata kitu chochote lazma wakiweke kwenye TV tuone kwenye Habari na Sasa imefikia hata wakifanya mchakamchaka nao unakuwa Habari ya kutuwekea kwenye taarifa.

Vitu kama mchakamchaka vinafanywa sana tu na vyombo vingine na hatuwekewi kwenye TV tuone ni kwanini kwa polisi?

Karibuni wadau wenye kujua sababu ya polisi kupenda sana kuonekana kwenye TV kila Mara mchangie
 
Labda ni kuonesha wanafanya mazoezi tu kwa ajili ya kazi zao
 
Polisi iko tofauti na majeshi mengine ambayo hayatoi huduma kwa raia,Ili polisi ifanye kazi ipasavyo ni lazima iwe Karibu na raia,mafanikio yeyote yanapopatikana bila kujali madogo au makubwa ni lazima jeshi litoe mrejesho kwa raia wake ili kujua zaidi utendaji na mafanikio,majeshi mengine hayana ulazima sana wa kufanya hiv kwa sababu kwa asilimia kubwa hawatoi huduma kwa raia
 
Weka hiyo video tuamini maneno yako?
 

Kuna waongezea chance ya kuwa promoted haraka sana kwani wameshajua kuwa Mabosi zao wengi ni ' wakodoleaji ' wazuri sana wa tv hivyo wakionekana tu hata mara moko / moja basi mambo ni mukide / safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…