Akilimali22
Senior Member
- Jun 7, 2015
- 168
- 90
Ikiwa tuna Hospitali za mikoa na rufaa na magari ya hospital yapo kwanini Polisi wabebe maiti?
Utakuta kuna matukio mengi tu yanatokea ikiwa mauaji, ajali au maiti zilizotelekezwa njiani na majumbani kwanza wataitwa Polisi. Kwanini Polisi nao wasi link na hospital waje pamoja?
Sababu:
Polisi sio wataalam wa afya sasa wanabebaje maiti kwenye gari ambayo baadae wanalitumia kubeba wahalifu hapo suala la afya limekaaje?
Zipo maiti zinabebwa zikiwa zimeharibika nyingine zinavuja damu.
Wataalam wa afya tushaurini humu na mshauri mfumo wa POLISI na hospital kufa ya kazi pamoja katika suala la kubeba miili ilioripotiwa Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa tuko pamoja... in short Polisi wawe na magari maalumu ya kubebea maiti na sio kuzitupa ovyo kwenye ma-defender yao huku wakizikanyaga ovyo! Hata kama alifariki kwenye tukio la kihalifu, maiti anastahili heshima.
My dear,hujaisoma post vizuri hrf tunaonana lini?Kazi kubwa ya polisi ni kulindana mali na usalama wa raia hivyo kukitokea kifo ni jukumu Lao kuchunguza kilichomsibu raia, wao ndiyo watabaini iwapo uchunguzi wa kifo unahitajika.
Mada imeelewekaMy dear,hujaisoma post vizuri
nakumbuka nilikufa, lilikuwa ni tukio la ujambazi,... in short Polisi wawe na magari maalumu ya kubebea maiti na sio kuzitupa ovyo kwenye ma-defender yao huku wakizikanyaga ovyo! Hata kama alifariki kwenye tukio la kihalifu, maiti anastahili heshima.
Niliwahi kushauri tubadili mfumo wa zimamoto, Ambulance zote zisimamiwe na zimamoto na uokoaji, maafisa wa zimamoto wapewe mafunzo ya paramedics na wawe na madaktari na manesi wao likitokea tukio waende kwa pamojaIkiwa tuna Hospitali za mikoa na rufaa na magari ya hospital yapo kwanini Polisi wabebe maiti?
Utakuta kuna matukio mengi tu yanatokea ikiwa mauaji, ajali au maiti zilizotelekezwa njiani na majumbani kwanza wataitwa Polisi. Kwanini Polisi nao wasi link na hospital waje pamoja?
Sababu:
Polisi sio wataalam wa afya sasa wanabebaje maiti kwenye gari ambayo baadae wanalitumia kubeba wahalifu hapo suala la afya limekaaje?
Zipo maiti zinabebwa zikiwa zimeharibika nyingine zinavuja damu.
Wataalam wa afya tushaurini humu na mshauri mfumo wa POLISI na hospital kufa ya kazi pamoja katika suala la kubeba miili ilioripotiwa Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point ya msingi sana hiiNiliwahi kushauri tubadili mfumo wa zimamoto, Ambulance zote zisimamiwe na zimamoto na uokoaji, maafisa wa zimamoto wapewe mafunzo ya paramedics na wawe na madaktari na manesi wao likitokea tukio waende kwa pamoja
Weshu wau point ya mtoa mada ni polisi wakishakuja eneo la tukio wakabaini uchunguzi zaidi unahitajika kwanini wasiwaachie watu wa afya jukumu la kubeba maiti na kufanya taratibu stahili? Defender sio chombo sahihi cha kubeba hizi maiti.Kazi kubwa ya polisi ni kulindana mali na usalama wa raia hivyo kukitokea kifo ni jukumu Lao kuchunguza kilichomsibu raia, wao ndiyo watabaini iwapo uchunguzi wa kifo unahitajika.
...Duh!...🙄🙄🙄nakumbuka nilikufa, lilikuwa ni tukio la ujambazi,
dah jamaa wakanibeba wakaniweka kwenye cruiser hard top 1HZ,
sikuwa na amani kabisa hasa ukizingatia kama ningepatikana na hatia, nani akubali kifungo?
Basi mie huyooo nikatoroka tulipokaribia central
Ambulance bebe jambazi lililopigwa na wananchi hapohapo ibebe mjamzito wakifika hospital waanzie mochwari ndio wodini, akili matope?Weshu wau point ya mtoa mada ni polisi wakishakuja eneo la tukio wakabaini uchunguzi zaidi unahitajika kwanini wasiwaachie watu wa afya jukumu la kubeba maiti na kufanya taratibu stahili? Defender sio chombo sahihi cha kubeba hizi maiti.
Maiti yoyote ikiokotwa lazima ipelekwe hospitali kuhifadhiwa na sio polisi, ndipo taratibu nyingine za kipolisi na kiuchunguzi zifuatwe.
Sent using Jamii Forums mobile app