Hakuna panya road Bali vigenge vya vijana ukienda kigogo kuna camps vijana hawana kazi wanavuta bangi na wakazi wa huko hujihusisha kupora,ukienda goms hvy hvy vijana wengi wanamaliza form4 wamefeli hawana kazi wanaishia kukaa maskani na kuvuta bangi ukienda mbagala ,manzese nk nk
Huku mtaani kwetu wapo lkn baadhi wamepungua wanamiliki bodaboda lkn camps hz za vijana kitaani wanavuta bangi kazi hawana nk
Kiini vijana wengi wanaishia o level wanakaa kitaani tu maskani na wengi under 25 hawana kazi