Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Huko PM kuna mambo acheni tu...wengine watakushushia shida zao as if wewe ni mlezi wake..nyie acheni tu...(Yaliyonikuta siri yangu)
Ndio maana pakaitwa pm ya huko yaache huko hukooHuko PM kuna mambo acheni tu...wengine watakushushia shida zao as if wewe ni mlezi wake..nyie acheni tu...(Yaliyonikuta siri yangu)
kweli kabisaMatusi ya humu mara wanawake wa JF sijui hivi
mara wazushiwe hiki,,
bora tu wafunge PM zao
mpk mfikie huko nyie mlishakua wapenziHuko PM kuna mambo acheni tu...wengine watakushushia shida zao as if wewe ni mlezi wake..nyie acheni tu...(Yaliyonikuta siri yangu)
Huko PM kuna mambo acheni tu...wengine watakushushia shida zao as if wewe ni mlezi wake..nyie acheni tu...(Yaliyonikuta siri yangu)

Hata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
Aah wapiiii, unakuta mmeanza tu urafiki hata week haijafika mizinga hiyooompk mfikie huko nyie mlishakua wapenzi
Teh teh hongera mkuu.Kumbe katika watatu nami nimoo
kweli wanawake tupo tofauti pole yako lkn ya pm yanatakiwa yabaki huko hukoAah wapiiii, unakuta mmeanza tu urafiki hata week haijafika mizinga hiyooo
Kweli aisee Siri yangukweli wanawake tupo tofauti pole yako lkn ya pm yanatakiwa yabaki huko huko

Daby bhana...eti "Wajinga wajinga"Teh teh hongera mkuu.
Wajinga wajinga tumefungiwa.

