Kwanini noti za Shilingi 500 zinatafutwa sana wakati huu?

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Kwema wandugu,

Naona sasa hivi watu wanazitafuta sana mia tano za noti za zaman, ebu tuambiane kuna siri gan?

IMG-20220224-WA0007.jpg


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

IMG-20220224-WA0007.jpg
 
Hapo kwa nyerere na twiga ndo sehemu ya watu kulia. Unayanunua manoti 100 kwa ten ten we ukauze kwa 50k kila limoja upate m 5 unafika unaambiwa haya yanatwiga zinazotakiwa nizanyerere. Kisha tunayanunua kwako kwa bukubuku kwenda kumwuzia mwingine kwa tenten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom