Kwanini nguo za mitumba zina harufu sawa?

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,139
Reaction score
1,039
Heri wakuu?

-Kwanini nguo zote za mitumba duniani zina harufu inayofanana?
-Ni spray gani inayofanya hiyo mitumba iwe na harufu moja?

Nataka kujua hiyo spray.
 
ah huenda labda kuna spray special mkuu,hatuifahamu.ila itakuwa labda ndiyo inafaa na ni bora pia inafanya nguo kabla ya kuuzwa zisiharibike ndio mana nguo zote mitumba zinanuka saw,mi sijathibitisha bado kama ni kweli mitumba yote ina harufu saw ngoja nifatlie.
 
Fuatilia
 
Hata Wazungu harufu zao sawa labda ndio maana
 
Mkuu kunaspray ambazo hutumika kuhifathia kuepuka kuvunda na kuua vimelea vya magonjwa
Kuna sehemu nimeona wameelezea hiyo harufu ni combination ya madawa meeeengi,ila hawana uhakika.
Lazima kutakuwa na official disinfectant.
 
No hiyo harufu inatokana na nguo kufuliwa na washing machine huwa kuna liquid flan hutiwa ili nguo ionekane mpya
 
Heri wakuu?

-Kwanini nguo zote za mitumba duniani zina harufu inayofanana?
-Ni spray gani inayofanya hiyo mitumba iwe na harufu moja?

Nataka kujua hiyo spray.
Ile ni dawa mdau yakuuwa bacteria ila haisadii sana hakuna watu wenye magonjwa ya ngozi kama wazungu nanii na huwa yanaambukiza na baadhi ya hizo nguo au viatu unakuta ni vya marehemu na ndio maana tunashauriwa tukizinunua tuzifue na kuanika kwenye jua kali pamoja na kupiga pasi kabla ya kuzivaa wewe unafikiri kwa nini serikali ilipiga marufuku nguo za ndani za mtumba yale maradhi yao yakikupata utajuta nguo umenunua sh elfu mbili ugonjwa utautibu kwa laki mbili
ah huenda labda kuna spray special mkuu,hatuifahamu.ila itakuwa labda ndiyo inafaa na ni bora pia inafanya nguo kabla ya kuuzwa zisiharibike ndio mana nguo zote mitumba zinanuka saw,mi sijathibitisha bado kama ni kweli mitumba yote ina harufu saw ngoja nifatlie.
 
Ile ni dawa mdau yakuuwa bacteria ila haisadii sana hakuna watu wenye magonjwa ya ngozi kama wazungu nanii na huwa yanaambukiza na baadhi ya hizo nguo au viatu unakuta ni vya marehemu na ndio maana tunashauriwa tukizinunua tuzifue na kuanika kwenye jua kali pamoja na kupiga pasi kabla ya kuzivaa wewe unafikiri kwa nini serikali ilipiga marufuku nguo za ndani za mtumba yale maradhi yao yakikupata utajuta nguo umenunua sh elfu mbili ugonjwa utautibu kwa laki mbili
Hiyo hiyo dawa uliyosema wewe nataka ifahamike.
Iweke kwa ajili ya maarifa tu.
Si unajua ufahamu unajazwa kwa vitu vidogovidogo?
 
Heri wakuu?

-Kwanini nguo zote za mitumba duniani zina harufu inayofanana?
-Ni spray gani inayofanya hiyo mitumba iwe na harufu moja?

Nataka kujua hiyo spray.
Kwasababu hazina harufu tofauti.......
 
Back
Top Bottom