Kwanini Netanyahu waziri mkuu wa Israel wanamuita bibi?

mmonly called “Bibi” because it is his childhood nickname.
Why “Bibi”?
In Hebrew-speaking families, it’s common to shorten names into affectionate nicknames.
Benjamin → “Bibi” became the nickname used by his family and friends when he was young.
The nickname stuck and followed him into public life.
 
Msaada kwa wajuzi wa mambo.

Huyu jamaa najua anaitwa Ben, na namuona kwenye media ni kidume ipi siri ya yeye kuitwa bibi?
Bibi anayoitwa huko kwao haina maana ya bibi ya kiswahili.

Hushangai wazungu wakimwita William "Bill", Joseph "Joe", Johnathan "Jay", Robert "Bob" na Theresa "Teddy". Teddy pia inatumika kwa Theodore na Edward
 
Halafu hiyo Benjamin inatamkwa Binyamin.

Sasa hiyo Bi ndiyo inarudiwa mara mbili kuifanya iwe Bibi.

Kama Conan O'Brien anavyoitwa Coco.

Halafu msifikiri neno Bibi katika Kiswahili lina maana hiyo hiyo katika lugha zote 😂😂😂
 
Halafu hiyo Benjamin inatamkwa Binyamin.

Sasa hiyo Bi ndiyo inarudiwa mara mbili kuifanya iwe Bibi.

Kama Conan O'Brien anavyoitwa Coco.

Halafu msifikiri neno Bibi katika Kiswahili lina maana hiyo hiyo katika lugha zote 😂😂😂
Jolene ,jojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…