Kwanini ndiyo,wakati hataki?

Kijana naona huyawezi mapenzi wewe na utaishia kuumia tu...

Mwanaume unapaswa ujue kuwa unapendwa au lah kabla ya kustrike...

Na once ukijua unajipendekeza tu basi unajitoa mapema na si kung'ang'ania kama ufunguo kwa kitasa...

Nimekuelewa mkuu.
 
Tatizo la eksipiriensi na umri kuwa mdogo.
Hao viumbe siyo wa kuendekeza sana.
 
Kama kusoma haujui hata picha hauioni?Hakuna mapenzi ya upande mmoja chapa lapa,omba MUNGU utapata mwingine

Eti "ooh,unacheka nin sasa"!! Haa!!! Hata kama ananisismuaje atapigwa bonge la sztaki mbich hiz
 

Wew ni mzigo usiobebeka...hata akikukubali utakuwa na msaada gani ilhali unalia lia tuu! Wanawake wanalia inawauma xana...na wew kidume unalia...eti inakuuma xana. DEMU ANAKUPOTEZEA COZ ANAONA WEW SIYO TYPE YAKE. Umri wenyew mnalingana....Demu wako anamtaka mutu siha na haiba ya kiume. Anayeweza kuunguruma tu, na shida zikakimbia na kumuacha she akichekelea. UYO SIYO SAIZI YAKO ndio maana anakufunika.
 
Duuh, pole sana mkuu. Kukataliwa kubaya lazima uweweseke. Hata hivyo jipe moyo kuna "sehemu" yupo mtu Maalum kwa ajili yako. MUHIMU ni kuitambua sehemu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…