Gravitational force kati ya nchi kavu na bahariWakuu, naomba kuwasilishwa kwa wale wenye kujua haya mambo ya ndege (aeroplane) kwa nini mara nyingi zikianguka huangukia baharini? Ni mara chache sana kuona zimeangukia nchi kavu.
Ukubwa wa chomboKwann ndege nying maranying huripuka kabla ya kuanguka?Na kwann wasiweke parachute km ndege za kijeshi helicopta e.tc kwa ajili ya kujiokoa?
Usawa wa bahari =0 feetMuda mwingi zinapaa usawa wa bahari. #My2Cents.
But ndio usafiri salama zaidi dunianiKila siku mnaleta hizi mada za ajali wakati wengine ndo wanayapanda
Mtakatisha watu tamaa
But ndio usafiri salama zaidi duniani
unamaanisha ndege inakuwa salama ikiwa juu hewani kuliko ikiwa imesimama kwenye ardhi?Gravitational force iliyopo kwenye surface ya maji ni tofauti na Ile iliyopo kwa ardhini. As I quote, "a plane is more safer in the air than on the ground."
Wakuu, naomba kuwasilishwa kwa wale wenye kujua haya mambo ya ndege (aeroplane) kwa nini mara nyingi zikianguka huangukia baharini? Ni mara chache sana kuona zimeangukia nchi kavu.