Kwanini nauli za mabasi hazipungui wakati bei ya mafuta imeshuka?

Tareeq

JF-Expert Member
May 3, 2010
831
408
Bei ya mafuta ya petrol Na Diezel ipo chini kwa sasa zaidi ya mwezi sijui kama na nje ya hapa Singida nauli zimebaki zilezile za kupaa .

SUMATRA wanasibiri nini kuwaagiza wenye magari kushusha bei za nauli? nchiii hii !!!!!
 
Bei ya mafuta ya petrol Na Diezel IPO chini kwa sasa zaidi ya mwezi sijui kama Na nje ya hapa Singida nauli zimebaki zilezile za kupaa , SUMATRA wanasibiri nini ? Itokee ndipo wawaagize wenye magari Bei za nauli njiii hii !!!!!
Usingizi wa pono
 
Ila kwenye kupandisha wapo fasta sana.Mafuta yakipanda leo tena kwa sh 50 utasikia kesho SUMATRA wanatangaza kupanda kwa nauli.
 
Back
Top Bottom