Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 1,955
- 2,616
Ndugu wanajamii,
Leo hii nimejifikiria sana kwa kina katika maisha yangu ya kila siku katika kukubalika kwangu kwa jamii haijalishi hometown au popote pale yani ninajikuta nakubalika sana kwa wanaume yani, ila kwa wanawake sikubaliki kabisa au wanaweza kunikubali kwa muda mfupi tu.
Embu niambieni wanajamii what's wrong with me, mjue nataka hawa watoto mie yani; 2014-single
2015-single
2016-single
2017-single again?
Please nisaidieni kijana wenu.