ni kawaida binadamu kutofurahia maanguko au mateso ya mtu mwingine waziwazi. lakini kwa nini hili la kikwete nachelea kumsikitikia?
ninazo sababu zangu nyingi lakini baadhi tu ni hizi
1. kiwete ni msanii alitukuka, yeye na wasanii wenzake wameeendelea kuwasanii watanzania kwa muda wa miaka mitano, wakati wananchi wanakufa njaa, hawana matibabu yeye anatumbua mapesa na mali asili zanchi hii na wateule wachache. kwa kuwa kuna wananchi wanaoanguka kwa njaa, kwa nini nijali kuhusu msanii kama kikwete kuanguka jukwaani, tena wakati anawaghilibu wananchi kwa kuwasomee litania ndefu ya mafanikio anayoyajua yeye na msanii mwenzake rostam aziz?
2. bado ule wizi wa epa na kagoda unanisumbua akilini. wakati kikwete na wenzake walichota mabilioni wakahonga mpaka akawa rais, badala ya kuwakamamta wale walioiba wanajulikana waziwazi, rosta, lowasa, nimrod mkono, kingunge, yeye na vibaraka wenzake wakawasweka ndani wasiohusika kama wale wafanyakakzi wa BOT. sasa wananishi maisha ya dhiki hawana mbele wala nyuma. kwa nini sasa nisifurahi kidogo anguko lake ambalo ni adhabu toka kwa MUNGU?
3. jakaya kikwete anataka kujenga usulatni wa ajabu hapa nchini, sasa yeye na wanawe ndo waamuzi wakubwa kabisa katika maisha na mustakabali wa nchi yangu, kama alivyokuwa sadam na wanawe wawili ndivyo alivyo kikwete, mkewe, na wanawe , kwa nini nisifurahie anguko la mtu kama huyu?
4.JK, WATU WANAKUDANGANYA, UMEZUNGUKWA NA WEZI, MAFISADI, PALE JUKWAANI JANGWANI UNAPOANGUKA KILA WAKATI WA KAMPENI KUNA ZINDIKO KUBWA, SEPTEMBER 5TH, 1990, MTU WA HAKI, NA MTUMISHI WA MUNGU BABA MTAKATIFU YOHANE PAULO WA PILI, ALIHUTUBIA TAIFA, AKALIKABIDHI TAIFA HILI KWA MUNGU, ILI WAONGO, WAZANDIKI, WAHUNI, WASANII, WALA RUSHWA, WAFISADI, WAKARIBIAPO PALE WAPATE KUANGUKA!
UTAANGUKA DAIMA

Hee! Kwahiyo JK kaangushwa na papa! Nijuavyo mimi Taifa hili halina dini. Huyo papa kapata wapi mamlaka ya kukabidhi Taifa hili kwa huyo Mungu wako
Inaonekana nyote nyie na Mahesabu hamjamwelewa Mwikimbi.Kwa hiyo...SILAA akiukwaa URAHISI pale (jangwani) ndio itajengwa IKULU? au KANISA?? maana panaonekana ni mahala PATAKATIFU
ni kawaida binadamu kutofurahia maanguko au mateso ya mtu mwingine waziwazi. lakini kwa nini hili la kikwete nachelea kumsikitikia?
ninazo sababu zangu nyingi lakini baadhi tu ni hizi
1. kiwete ni msanii alitukuka, yeye na wasanii wenzake wameeendelea kuwasanii watanzania kwa muda wa miaka mitano, wakati wananchi wanakufa njaa, hawana matibabu yeye anatumbua mapesa na mali asili zanchi hii na wateule wachache. kwa kuwa kuna wananchi wanaoanguka kwa njaa, kwa nini nijali kuhusu msanii kama kikwete kuanguka jukwaani, tena wakati anawaghilibu wananchi kwa kuwasomee litania ndefu ya mafanikio anayoyajua yeye na msanii mwenzake rostam aziz?
2. bado ule wizi wa epa na kagoda unanisumbua akilini. wakati kikwete na wenzake walichota mabilioni wakahonga mpaka akawa rais, badala ya kuwakamamta wale walioiba wanajulikana waziwazi, rosta, lowasa, nimrod mkono, kingunge, yeye na vibaraka wenzake wakawasweka ndani wasiohusika kama wale wafanyakakzi wa BOT. sasa wananishi maisha ya dhiki hawana mbele wala nyuma. kwa nini sasa nisifurahi kidogo anguko lake ambalo ni adhabu toka kwa MUNGU?
3. jakaya kikwete anataka kujenga usulatni wa ajabu hapa nchini, sasa yeye na wanawe ndo waamuzi wakubwa kabisa katika maisha na mustakabali wa nchi yangu, kama alivyokuwa sadam na wanawe wawili ndivyo alivyo kikwete, mkewe, na wanawe , kwa nini nisifurahie anguko la mtu kama huyu?
4.JK, WATU WANAKUDANGANYA, UMEZUNGUKWA NA WEZI, MAFISADI, PALE JUKWAANI JANGWANI UNAPOANGUKA KILA WAKATI WA KAMPENI KUNA ZINDIKO KUBWA, SEPTEMBER 5TH, 1990, MTU WA HAKI, NA MTUMISHI WA MUNGU BABA MTAKATIFU YOHANE PAULO WA PILI, ALIHUTUBIA TAIFA, AKALIKABIDHI TAIFA HILI KWA MUNGU, ILI WAONGO, WAZANDIKI, WAHUNI, WASANII, WALA RUSHWA, WAFISADI, WAKARIBIAPO PALE WAPATE KUANGUKA!
UTAANGUKA DAIMA
Mimi Kikwete simpendi kama rais, lakini siwezi kusema nafurahia kumuona anaanguka jukwaani katika hali kama ile.Kusema hivyo ni kukosa ubinadamu kunakoelekea katika uchuro ulio karibu na ulozi kama si uchawi kabisa.
Ingawa sipendi siasa za Kikwete, naona kufurahia ugonjwa wa mtu mwingine si ustaarabu na kunaonyesha udogo wa mawazo.
Kama unakataa siasa za Kikwete, kataa siasa zake, huna ulazima wa kutaka kuona anaumia kimwili ili ukamilishe kukataa siasa zake.
Na hili ni jambo la msingi kabisa katika ubinadamu, hata ukitoa urais wa Kikwete.
Huoni kama ni 'ubinaadamu' yeye ndiye wa kwanza kuukosa? ....kwa kufuja fedha za wananchi eg EPA huku akiwaacha maelfu wakifa kwa maradhi au matatizo ambayo yangeweza kuondolewa na hizo fedha wanazofuja?
Two wrongs do not make a right, kama Kikwete kakosa ubinadamu - kitu ambacho wengine wanaweza kukipinga- haimaanishi hilo linakupa leseni na wewe ukose ubinadamu.
Kikwete akijivua suruali hadharani na kuonyesha dhakari yake (ashakum si matusi, naonyesha ujinga wa kuiga mabaya tu) na wewe utataka kuvua suruali hadharani na kumuiga ? Ukitaka kukosa ubinadamu kama yeye (unavyodai wewe) utapata wapi moral high ground ya kumsema yeye ? Utawezaje kutuambia tuna haja ya kubadilisha uongozi mmoja unaokosa ubinadamu kwa kutaka kuleta uongozi mwingine unaoungwa mkono na wahuni wasiojali ubinadamu? Tofauti itakuwa wapi sasa ?
Acheni hizi simplistic positions zilizojaa fanatic zeal kuliko informed thinking.
Two wrongs do not make right BUT ALSO one wrong and one right do not make right... siyo? Ohoo dear...ule wakati wa kugeuza shavu ulienda na karne iliyopita!!!!!
Kwa hiyo...SILAA akiukwaa URAHISI pale (jangwani) ndio itajengwa IKULU? au KANISA?? maana panaonekana ni mahala PATAKATIFU
Hiyo Avatar yako, mhhhh! ni vita tu inaashiria, tusichochee vita jamani, mnatuogopesha!:confused2: Tazama Pakistani wanavyokufa kwa mafuriko, China nako tena hali ni mbaya. Sasa, Bunduki na jambia unaendelea kushikilia, ona huruma kwa uhai, Uhai ni mali ya Mungu!Hee! Kwahiyo JK kaangushwa na papa! Nijuavyo mimi Taifa hili halina dini. Huyo papa kapata wapi mamlaka ya kukabidhi Taifa hili kwa huyo Mungu wako
Tatizo wewe ni mtu wa theories kwa sana.... sio kila mahali uta-apply hiyo... Akianguka tena na tena na tena na tena na tena na tena atasikia aibu na kuwaachia wenye uwezo watawale. Hata kama hatuna uhakika anayekuja ni mzuri zaidi lakini bado ni one step ahead! Ndio maana jamaa kasema kila anapopiga chali ni one step ahead....na unaposonga kila hatua unayosonga mbele ni furaha...At least with one wrong and one right utanionyesha unaanza ku right the wrong, wewe unaposema unataka kutoa wrong kwa wrong possibly ili ulete wrong nyingine hunipi sababu ya kutaka kubadili hii wrong iliyopo.
Nibadili ili iweje sasa? Nitoe wrong moja na kuingiza wrong nyingine?
Tatizo wewe ni mtu wa theories kwa sana.... sio kila mahali uta-apply hiyo... Akianguka tena na tena na tena na tena na tena na tena atasikia aibu na kuwaachia wenye uwezo watawale. Hata kama hatuna uhakika anayekuja ni mzuri zaidi lakini bado ni one step ahead! Ndio maana jamaa kasema kila anapopiga chali ni one step ahead....na unaposonga kila hatua unayosonga mbele ni furaha...
Two wrongs do not make a right, kama Kikwete kakosa ubinadamu - kitu ambacho wengine wanaweza kukipinga- haimaanishi hilo linakupa leseni na wewe ukose ubinadamu.
Kikwete akijivua suruali hadharani na kuonyesha dhakari yake (ashakum si matusi, naonyesha ujinga wa kuiga mabaya tu) na wewe utataka kuvua suruali hadharani na kumuiga ? Ukitaka kukosa ubinadamu kama yeye (unavyodai wewe) utapata wapi moral high ground ya kumsema yeye ? Utawezaje kutuambia tuna haja ya kubadilisha uongozi mmoja unaokosa ubinadamu kwa kutaka kuleta uongozi mwingine unaoungwa mkono na wahuni wasiojali ubinadamu? Tofauti itakuwa wapi sasa ?
Acheni hizi simplistic positions zilizojaa fanatic zeal kuliko informed thinking.
safi sana mkuu hahaaaa haaaaaMimi Kikwete simpendi kama rais, lakini siwezi kusema nafurahia kumuona anaanguka jukwaani katika hali kama ile.Kusema hivyo ni kukosa ubinadamu kunakoelekea katika uchuro ulio karibu na ulozi kama si uchawi kabisa.
Ingawa sipendi siasa za Kikwete, naona kufurahia ugonjwa wa mtu mwingine si ustaarabu na kunaonyesha udogo wa mawazo.
Kama unakataa siasa za Kikwete, kataa siasa zake, huna ulazima wa kutaka kuona anaumia kimwili ili ukamilishe kukataa siasa zake. Ndiyo maana watu makini katika upinzani ngazi ya taifa wamemtumia salamu za pole. Upinzani wa kisiasa haumaanishi uhasama binafsi.