Kwanini naamini CCM inaanguka rasmi?


Sasa msambila.

Ukawa wenzenu wameshafanya uchaguz wa viongozi wao.

Nyinyi huko uchagani ni lini??

Ni kweli ccm inaanguka hata mimi nakubali hilo.

Si mmejionea tu hata kwenye hiz chaguz ndogo za hivi majuzi ilivyoanguka??

Tena me nashauri Technical Team ya Ukawa itayojifungia ndani huko wewe uwe kiongozi wao.

Au unasemaje.

Pia wakupe Tenda ya ujenz wa ofisi mbali mbali za Ukawa nchi nzima kwa kutumia ile kampuni yako ya ujenz mkuu.

Teh teh teh.

Yani we jamaa ukishavuta bange unajiona mjanja sana.

Teh teh teh.
 
Mkuu Yericko Nyerere endelea kujipa moyo na kusubiri mkono wa binadamu labda utaanguka kama fisi...!!!
 

unajitutumua Kwa vichaguzi mlivyoshimda Kwa kuiba kura? Kwa daftari lipi hasa? Kwa tume ipi iliyo huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…