Kwanini Mzee Kilomoni anaishikiria hati ya Simba je ndiye mmiliki au anaidai Simba?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati ya Klabu ya Simba?Pili kwanini Mzee Kilomoni anasema Haitoi kwa Uongozi?Je Klabu ya Simba ni mali ya Mzee Kilomoni?Je Mzee Kilomoni anaidai Klabu ya Simba ndio sababu ya kuishikiria Hati?Na mwisho kama Hati ni ya Klabu ya Simba kwanini iwe kwa mtu binafsi na isiwe Klabuni?
 
Simba ni Mali ya Bi Hindu, Kilomoni ni mwenzi
 
Umeulizwa swali dogo na la msingi kweli ila kwa upeo wako mdogo ukahisi unakejeliwa ukapanic.
ahaaaa narudia tena sijui alivyoipata ndio maana nikalileta hapa ili anayejua aseme tatizo liko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom