Technian Tanga
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 411
- 200
Mahusiano yanapovunjika imekuwa ni mara chache mwanaume kumfata mwanamke wawe pamoja labda tu awe amezaa nae na anamfata kwa nia ya kutaka arudi kulea watoto.
Lakini haya mambo ya uchumba ikitokea wamemwagana yani hata mwanamke awe ndo ametema muda ukienda atarudi tu na kuomba msamaha hii ni kwanini?
Lakini haya mambo ya uchumba ikitokea wamemwagana yani hata mwanamke awe ndo ametema muda ukienda atarudi tu na kuomba msamaha hii ni kwanini?