Kwanini mwanamke akisemwa hulia?

Defensive mechanism

Anajua akilia ataachwa anatumia machozi kama kuonekana anaonewa lakini moyoni yuko sawa kabisa atalia mpaka lini?

Dawa ya kusemewa jambo ni kuliacha kujirekebisha
 
Duuh! Nawaza kwani akinyamaza anachoambiwa hakitamuingia au ndio anatumia kivuli cha kulia asipewe ukweli wake.

Muongo huyo na mtu wa hivyo waeza kuta kila siku ndio mrudiaji mzuri wa makosa.
Kuumbe mnaigizaga [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aisee kumbe ndo zaoo[emoji3]
 
mwanamke sio dhaifu nakataa..mwanamke anatembea na mimba miezi kibao, huku mwanaume ukipata kijipu tuu hata kukaa nacho siku mbili mtaa mzima utajua we mgonjwa...akili nyingi sana hawa wandugu hasa wanapojua kuzitumia
Jipu na mimba wapi na wapi?
 
Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawaamini vilio vya wanawake kwani zaidi ya asilimia 90 ni unafiki ulio wazi.
 
Hiyo ni mbinu ya mwanamke kumgeuza mume mawazo. Wazungu wanaita "Shit Game".
Mwanamke ana deploy victim mentality, ili umuonee huruma au ugeuze maamuzi. Na ukiingia tu mkenge ukilegeza...hapo ndio utakuwa mwanya wake. Yaani hata kama kweli kakosea ukimsema atajifanya analia ili usiendelee .

Be the man, mchane ukwelu huku macho makav.. hata kama atalia mpaka kesho.
 
Hamtujui eeeeh. Hajatujua bado?πŸ˜€πŸ˜€

Hiyo ni mechanism tunatumiaga kufupisha kusemwa, na pia kuwafanya mjiskie vibaya msituseme tena.

Na pia inapendezaga mkitubembeleza afu mkatutembezea nanlii ili tuchekelee baada ya kujiliza.

πŸ˜›πŸ˜›
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…