Hiyo ni drama tu, kwa maana nyingine hiyo ndio silaha yao.Zamani kwa baadhi ya makabila mwanamke akikosea tu basi ategemee kipondo kizito kutoka kwa mumewe.Pia kunabaadhi ya makabila mwanamke hupigwa kwa kipande cha kanga.
Jambo lililonigusa kuuandika uzi huu ni kwamba kunajamaa yangu tangu ameoa ikitokea mke wake amekosea na jamaa akimsema na kumsihi hiyo/hicho kitendo asikirudie tena basi huyo mwanamke huwa analia sana.Imefikia kipindi jamaa anaogopa kabisa kumsema maana watoto watakapomuona mama yao analia huwenda wakawa na chuki na kisasi kwa baba yao ( ieleweke kuwa jamaa hatasiku moja hajawahi kumsema mkwewe mbele ya watoto au mbele ya watu).
Je,tabia hii ya kulia lia pale unapokosolewa wanawake wameitoa wapi? Au ni kinga ya kutuzuia sisi wanaume tusiendelee kuongea au ni njia ya kutafuta huruma na kujenga dhana kwamba wanawake ni vumbe dhaifu.
Asanteni wanajamii naomba niwasilishe hoja.
Zamani kwa baadhi ya makabila mwanamke akikosea tu basi ategemee kipondo kizito kutoka kwa mumewe.Pia kunabaadhi ya makabila mwanamke hupigwa kwa kipande cha kanga.
Jambo lililonigusa kuuandika uzi huu ni kwamba kunajamaa yangu tangu ameoa ikitokea mke wake amekosea na jamaa akimsema na kumsihi hiyo/hicho kitendo asikirudie tena basi huyo mwanamke huwa analia sana.Imefikia kipindi jamaa anaogopa kabisa kumsema maana watoto watakapomuona mama yao analia huwenda wakawa na chuki na kisasi kwa baba yao ( ieleweke kuwa jamaa hatasiku moja hajawahi kumsema mkwewe mbele ya watoto au mbele ya watu).
Je,tabia hii ya kulia lia pale unapokosolewa wanawake wameitoa wapi? Au ni kinga ya kutuzuia sisi wanaume tusiendelee kuongea au ni njia ya kutafuta huruma na kujenga dhana kwamba wanawake ni vumbe dhaifu.
Asanteni wanajamii naomba niwasilishe hoja.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]kudadaaadeki sie tunaopenda mambo ya oversize chumbani, mara nyingi supu zetu ni hizi za kienyeji....unamsema na yeye anakusema, mnakuwa kama mpo mnadani, zogo mtindo mmoja, mwisho unataka kumpiga, akwambia nipige kama wewe mwanaume kwel, yaani kama kweli wewe una mapu...u nipige, hapo kashika kisu joh,..ukiangalia una watoto wawili, alafu hawafanani...aagh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake wenyewe ndo hawa tunao ishi nao?
Au wasayari nyingine?