maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,096
- 4,758
Wakuu natumai mko poa kabisa.
Swali hili najiuliza kila siku, kama Mungu anataka tufanye yale anayotaka yeye kwanini alituumba na akili? si alikua ana uwezo wa kutuumba tumumfate automatic.
Swali lingine ni kwanini alituumba bila makubaliano, yaani hakushirikishi kwene uumbaji wako, unajikuta tu uko duniani bila wewe mwenyewe kuridhia yaani hujamuomba akuumbe.
Nna maswali mengi huwa najiuliza, mengine ntayashusha kutokana na mjadala utavoenda, tuanze na hayo tu.
Ameni