Kwanini mshahara wa Serikali haukai ?

Ser Serikzli ya ccm hailipi mishahara Bali posho ya kumfanya mtumishi asife !! Infact ni serikali chovu na hasa hii awamu ya tano imeshindwa kuongeza mishahara na haitaweza muda utaongea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ukichana na matumizi yako mwenyewe.. Mshahara wa serikali ni kama posho tu.
Hasa kwa hawa watumishi wa chini km walimu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…