Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Watumishi wa umma wengi ni maskini kabisa na huwa wanastaafu maskini kiasi cha kusababisha msongo wa mawazo na kufa mapema.
NUnakuta mtu anaishi kwa mshahara tu miaka nenda rudi bila kuanzisha kaproject kokote ka kunogesha maisha.
Unaweza kulima au kufuga hata tukuku vikakusaidia. Mtu hata kibanda hana , hata genge la nyanya hana.
N mshahara ukitoka siku 2 tu umeshaisha. Ikifika tarehe 10 watu huishi maisha ya kuganga ganga njaa sana.
Watu wamekuwa waoga sana katika kuwa na mradi.
Kopa fanya miradi upate pesa zaidi.
Si
Sijui kwa nn mshahara wa serikali unaishaga mapema sana.
Mtumishi yeyote wa umma ambaye mshahara haukai.mie pia ni mtumishiMkuu mpimamstaafu hivi unaelewa ulichokiandika? Unazungumzia mtumishi wa aina gani? We ni mtumishi?
Wacha kusimama hata kuchuchumaKwasababu hausimami mkuu
Extended family inawamaliza watumishi maana ndugu wanajua unahela mwisho wa mwezi lakini kwa mfanya biashara anaweza kusema hana hela hata kama anayo na akaelewekaMISHAHARA MIDOGO NA WATUMISHI WANAKOPA KUSOMESHA WATOTO NA EXTENDED FAMILY IKIWEPO WEWE ULIVYOSOMWESHWA
Hajaongelea wakuu wa mkoa na wilaya, wakurugenzi na maafsa wa idara hao mambo yao ni swafiiiiiMkuu mpimamstaafu hivi unaelewa ulichokiandika? Unazungumzia mtumishi wa aina gani? We ni mtumishi?
sasa mkuu utakaaje kwa kale kautaratibu ulikoombea ushauriWatumishi wa umma wengi ni maskini kabisa na huwa wanastaafu maskini kiasi cha kusababisha msongo wa mawazo na kufa mapema.
NUnakuta mtu anaishi kwa mshahara tu miaka nenda rudi bila kuanzisha kaproject kokote ka kunogesha maisha.
Unaweza kulima au kufuga hata tukuku vikakusaidia. Mtu hata kibanda hana , hata genge la nyanya hana.
N mshahara ukitoka siku 2 tu umeshaisha. Ikifika tarehe 10 watu huishi maisha ya kuganga ganga njaa sana.
Watu wamekuwa waoga sana katika kuwa na mradi.
Kopa fanya miradi upate pesa zaidi.
Si
Sijui kwa nn mshahara wa serikali unaishaga mapema sana.
Kwa sababu ya Chuma ulete.Watumishi wa umma wengi ni maskini kabisa na huwa wanastaafu maskini kiasi cha kusababisha msongo wa mawazo na kufa mapema.