Kwanini mnajirekodi video mkiwa faragha?

We jamaa 420 different women [emoji1787][emoji1787][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mchepuko wangu (mke wa mtu) jana kafuma picha za uchi za mchepuko wa mumewe kwenye simu. Sasa kaniuliza afanyeje mi nimemwambia hebu nitumie hizo picha nikushauri cha kufanya. Ndio nazisubiria hapa ntawapa mrejesho.. Maombi yenu.
 
Muda mwingine mwanaume anaamua kujaribu tuu aone msimamo wa KE ila cha kushangaza wachache wanakataa wengi utaskia rekodi ila nisionekane sura...Bogus kabisaa!
Na hakuna mkate mgumu mbele ya chai, yaani kurekodi tu, mbona simple kwa hawa dada, labda huwe hauna hela, demu anatoa jicho pasipo gharama yoyote itakuwa kurekodi.
 
Kuna mchepuko wangu (mke wa mtu) jana kafuma picha za uchi za mchepuko wa mumewe kwenye simu. Sasa kaniuliza afanyeje mi nimemwambia hebu nitumie hizo picha nikushauri cha kufanya. Ndio nazisubiria hapa ntawapa mrejesho.. Maombi yenu.
Mara ana kutumia alafu unakuta ni mkeo na Mume wa Mchepuko wako! Utafanyaje!!?
 
Kuna mchepuko wangu (mke wa mtu) jana kafuma picha za uchi za mchepuko wa mumewe kwenye simu. Sasa kaniuliza afanyeje mi nimemwambia hebu nitumie hizo picha nikushauri cha kufanya. Ndio nazisubiria hapa ntawapa mrejesho.. Maombi yenu.
Tunasubr mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…