Kwanini Mkenya haweza kula na kunywa bila kuitaja Tanzania?

Zote kwa mkopo
Hahahahaha, sisi sio ile nchi yenye uchumi wa Maneno wakati inflation is the highest, unemployment and hunger are chronic problems.

Ngoja nikuongezee hasara;
1) Tunakarabati our Central MGR iweze kufikia speed ya 80KM/h, sawa na huyo bibi kizee wenu (SGR), toka Dar hadi Mwanza about 900Km long, tena tunaunganisha reli isiwe na joints kama hiyo SGR lenu.

2) Tunakarabati reli toka Tanga hadi Arusha, about 600Km.

Zote hizo kwa pesa yetu. Hiyo ndio maana ya big economy, sio uchumi wa Maneno tu.
 
Hiyo billion mia sio yao hahahaha... Joto la jiwe hebu usibishane na pimbi hizi ziachen ziendelee kulala msiziamshee
 
Naskia hata Raisi wao lazima akuwege Mkikuyu.
Mujaruo NO.
Pole kwa Oginga Odinga na jukuu zake.
 
Ukuaji wa uchumi wa Kenya unasaidiaje wakenya wanaoishi kwa kushinda na kulala njaa. Ukienda vijijini wananchi wanafanana mazombi uo uchumi sinirahana mkuu.
Bora Tanzania wengi tunajua uchumi wetu unasinyaa.
 
Hivi Kenya kuna Democrasia!! Mimi naona ikifika uchaguzi watu wana geuka wanyama nakuchinjana kwa ajili ya kutetea makabila yao. BTW takwimu zina onyesha Tz iko more democratic kuliko Kenya (Democracy index) nyie kwa sababu ya chuki zenu kwa Magu mnamuita Dictator ila dunia inajua Tz is more democratic kuliko Kenya.
 
Guess you are new here. Check all threads started by Tanzanians hapa za kujaribu kubelittle Kenya na kucelebrate. Unaweza thani Kenya is a dying country ukisoma threads humu
 
Guess you are new here. Check all threads started by Tanzanians hapa za kujaribu kubelittle Kenya na kucelebrate. Unaweza thani Kenya is a dying country ukisoma threads humu
Mm sio mpya hapa, Usiangalie jf, nenda kaangalie forum mbalimbali, humu Tanzanian waliaanza baada ya ninyi kuaanza
 
Mm sio mpya hapa, Usiangalie jf, nenda kaangalie forum mbalimbali, humu Tanzanian waliaanza baada ya ninyi kuaanza
Really man. Mimi husoma threads za kucelebrate KQ ikiwa na shida or some company ikiwa na shida or some bad news from Kenya. Thank God KE ni rahisi kupata info utapata waTZ kama ichioboy wameset twitter location yao to Kenya kuokota any negative news trending in Kenya
 
Narudia pale pale, nyie ndo mnapenda kuichafua Tanzania ndo maana na nyie mnachafuliwa, mna kauchokozi ambacho mkijibiwa mnaanza kusema tuna wivu
 
Narudia pale pale, nyie ndo mnapenda kuichafua Tanzania ndo maana na nyie mnachafuliwa, mna kauchokozi ambacho mkijibiwa mnaanza kusema tuna wivu
Kujibiwa? SGR ya kenya is fully functioning, inabeba cargo mostly then abiria, ukisoma thread hapa watu wanalia sijui investment mbaya, yet we have one na none in TZ. Wanalia sijui KQ imefanya nini, yet TZ you have no carrier, niliona post ati wachina wanatembea koloni lao Kenya, yet TZ ni tourism, sijui kenya kuna poverty yet TZ has a higher % living in extreme poverty than Kenya. Unajua mnaishi in a state of self denial kujaribu kuangalia negatives za kenya ndio msikie mmefika ama mko pazuri.
 
Ni kwa sababu na nyie mnawachafua Tz, acheni muone kama waTz wana muda na nyie
 
Kenyan economy looks bigger because of the value of the currency. But if you have to compare house by house, road by road, bridge by bridge, school by school, etc, you will realize how richer is Tanzania compared to Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…