Kwanini Mkenya haweza kula na kunywa bila kuitaja Tanzania?


luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,397
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,397 2,000
Truth be told, nyinyi ndo wivu mwingi kabisa dhidi ya Wakenya…….Wivu wenu unatokana na kuona wakenya wameendelea kiuchumi na kidemokrasia...Katika harakati ya kutaka kuifikia Kenya katika hayo, mnataka kujilinganisha na kuonekana jinsi mnazinduazindua miundombinu ambayo itapelekea Tz kuwa mbele ya Kenya kiuchumi katika miaka ijayo, mkasahau ya kwamba, Simba hajalala….Haja yenyu kuu ni kuufikia Uchumi wa Kenya ambao nitapata wajukuu na vitukuu mkiwa bado kwenye hiyo ndoto!
Ilo li nchi liloendelea ki demokrasia ndio ilo linchi la HANDSHAKE ? Tribalism ? Kwan ule uchaguzi wa 2017 BABA si ndo alijiapisha mwenyewe akidai Jubilee na IEBC walikwiba NN ? MAVI ama ... Then 2018 njuguna njuguna mkampora haki yake ya uraia mka mdeport to canada by force qithout his willing akataka ku appeal court mkamfanyaje ? IPO WAPI DEMOKRASIA hapo ..... Ikonwapi FREEDOM tunda la demokrasia hapo ? 😀😀😀😀😀
 
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
4,447
Points
2,000
mbongo_halisi

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
4,447 2,000
How do you mean you have everything? Naona ccm imewakalia " chapati" hamfurukuti.😁

Tanzania is a paradise, there's everything here from food to whatever you can think of. Why should I leave here and go to a semi-desert country, for what reason? I am in Paradiso!
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
2,175
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
2,175 2,000
Wakenya huwa na washangaa kuishi kwa kuitaja Tz kuisema vibayà lakini sisi hata kuwawaza hatujawai
 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
6,213
Points
2,000
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
6,213 2,000
MUFINDI PAPER MILLS IN TANZANIA

 
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
6,213
Points
2,000
B

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
6,213 2,000
May 14, 2019
Goungzhou , China

Kampuni ya Usafirishaji mizigo ya Silent Ocean , Imeendelea kutoa huduma kwa watanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, DR Congo na wateja wake wote Africa kuhusu Huduma ambazo wanazitoa na Leo wamezungumza na AyoTV, 'Sisi kama Silent Ocean wateja wetu wote ambao tunawapokea hapa Airport ya Goungzhou tunawapatia huduma ya Usafiri mpaka hotelini bure na Pia wakati wakurudi tunafanya hivyohivyo


Source: Millard Ayo
 
muor

muor

Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
15
Points
45
muor

muor

Member
Joined Jun 5, 2017
15 45
Kuna mahali tushawahi kuandika tunataka kufikia uchumi wa kenya? Ni wasiwasi wenu tu, mkiona Tanzania wanafanya kitu mnadhani wanashindana na nyie, hivi kweli nikuulize kuna nchi haipendi kufanya maendeleo binafsi? Shida ni ninyi na ndio maana mnaona watanzania ni wabaya wakati chanzo ni ninyi, yaani mnalala mkiwaza muandike uzi gani wa kuichafua Tanzania, mkiambiwa ukweli mnajitetea eti watanzania wana Wivu, yaani hampendi kusikia jambo zuri linafanyika Tanzania. Badilikeni nawaambieni.
awakawii taskia watanzania wamezuia mvua mawingu yamekwamia tanzania mwezi ume andama kwao lakini lakini wameongea mbaka basi unge anza kuandama kwetu kwange sema sana wasisahau tu wachina wanakuja kuchukuwa bandari yao mombasa.
 
wilson255

wilson255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
229
Points
250
wilson255

wilson255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
229 250
Ni wachokozi alafu wakipewa za uso wanaanza kutukana eti mara watanzania wana wivu, sasa tuwaonee wivu na nn haahaha hahahaahah
awakawii taskia watanzania wamezuia mvua mawingu yamekwamia tanzania mwezi ume andama kwao lakini lakini wameongea mbaka basi unge anza kuandama kwetu kwange sema sana wasisahau tu wachina wanakuja kuchukuwa bandari yao mombasa.
 

Forum statistics

Threads 1,296,167
Members 498,559
Posts 31,237,027
Top